Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Kuna watu huwa nawashangaa wanamponda MO eti hela za urithi,urithi kwa kizazi chako ni kitu chema,unakata mnyororo wa umasikini
 
Ni masikini tu yule wa kuigiza maisha na asiye na akili ya kitajiri ndo anafikiri kila anayepanda daladala hana gari kama yeye. Lolote linaweza kutokea ukapanda daladala bila kujali una magari au la.
 
Ukiwa mzee halafu huna hela unadharaulika sana. Kama mimi hapa hata siitwagi kwenye vikao vya familia.
Utasikia huyu sijui atakuja kuongea nini si aendelee na vibarua vyake taarifa yakikao atapata tu hata asipohudhuria
 
Deep down wazee wengi walikua wajinga wakawa wapumbavu inasikitisha Sana hii ila ni ukweli mchungu
 
Chai ya kijiwe hii
 
Nadhani vijana wengi humu wanaongelea nadharia kuna kundi kubwa sana la vijana ambao sasa hivi wana Miaka kibao ajira hamna wengine wana Miaka 40 sasa hivi hawajapata kazi na wamesoma muda sio mrefu wataingia kundi la wazee Kusema walichezea maisha ni kukufuru na kutowapisha viti ni kuwaadhibu Mara mbili

Anyway kifupi mleta mada ana roho ya kishetani na wote wanaom mu support wana roho za kishetani mtakwama mbeleni kimaisha kwa sasa mwajiona salama kwa visenti vichache na vigari mitumba vilivyookotwa majalalani Japan mnavyotembelea .Lakini safari bado ndefu. MUNGU AWALAANI KWA KUTOHESHIMU WAZEE

Amri ya Mungu inasema waheshimu Baba yako na mamako update kuwa na siku nyingi zenye heri duniani .Kutoheshimu wazee kunafupisha maisha au siku zenye heri ndio maana vijana wengi sana sasa hivi wanakufa kuliko wazee na wanaharibikiwa sana vitu vingi kama ukosefu wa kazi,maisha magumu maofisini na majumbani kwenye familia zao,nk lakini sababu kuu ni kuwa heshima kwa wazee hamna .
Na mlaaniwe na Mungu wote mlioonyesha kutokuwa adabu kwa wazee humu riziki zenu zipotee na muwe na maisha magumu ambayo hakuna atayeweza kuyabadilisha hadi mfe
 
Endelea kuwa na Imani hiyo, endelea kuwa mwema na wala usije kutoa Siri zake wala usimuibie. Hizi familia zetu hasa mke anapokuwa mbabe maelewano Huwa yanakuwa hafifu. Watoto wa kike mara nyingi wakiingiziwa ujinga wa mama Yao mbabe Huwa ni changamoto sana sana.

Endelea kuwa mwaminifu kwake
 
Weka picha au ni chai???
 
Kuna watu huwa nawashangaa wanamponda MO eti hela za urithi,urithi kwa kizazi chako ni kitu chema,unakata mnyororo wa umasikini
Sifa kuu ya koo au familia maskini kila mtu huanza sifuri kujenga maisha yake ndio maana umaskini ni endelevu kwenye hizo koo au familia.Za matajiri wanaojielewa hawaanzii zero wanarithi
 
Si wanasemaga malaika anaweza kuja kwa dizain nyingi kukupima .....shauri yako
 
Kuna roli nilisoma nyuma,eti "Ukiwa kijana mvivu,itakuja kuwa mzee msumbufu"Sasa naona Kama inataka kufanana na huu Uzi......Mimi sipishi mwanamke mwenye mtoto Wala mimba...mzee inategemea na uchovu wa mwili wangu na urefu wa safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…