Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Hiyo interview ilikua na ya watu wa mapokezi nini. Maana huwez mnyima mtu kazi kwa suala kama hilo, mtu ana profession yake na anaonekana kazi aweza.
 
Kama ni utani, sawa!
 
walizembea....🀣🀣🀣

ila muda ni mwalimu mzuri wee wacheke tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Waambie wajinga wanaoamini katika laana.

Tena ungekuwa karibu ungekula mitama na uzee wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimegundua we jamaa una sura ya upole.ilani mtata balaa.
 
Kuna tangazo moja kwenye tv....mzee anapishwa kiti halafu anasaidiwa kusimamishiwa daladala....zee lenyewe limevaa cheni linaonekana tapeli..linawakilisha mazee mengi matapeli ya Dar es salaam

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu ndiyo yakwanza kulalamikia wanawake hawsridhiki kumbe wao show mbofu mbofu [emoji23][emoji23][emoji23] ha haa haa

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Huko ndani hakuna kitu sasa wanaume wengi kwenye mti uyoga haa haa haa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] badala yashughulikia tatizo wao kulalamikia wanawake!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wazee wanasaidia sana, lakini mbona wanaume huwa wanasusa mpaka chakula eti anaenda kula kwa mchepuko [emoji3][emoji3]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine mnasingizia vyakula wakati ni hali zao tu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
mmoja alikataa kumpisha mzee kwenye daladala akiwa anaenda interview wakashuka wote kwenye basi

Kuingia ofisi ya interview akakuta yule mzee ndie wa kumhoji oral interview

Kilichofuata mzee akamwambia yule kijana nenda.Alitoka analia akajua kitakachofuata.Hakupata kazi
 
Inatokea Sana hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1] [emoji1787] nilisikia pia dogo mwingine alikuwa anaenda kijiji kumoja kwa mganga wa kienyeji
Kwenye Bus kamtukana mzee mmoja kisa seat
Aliposhuka wakashuka wote kwa sababu mzee ni kwao huko akaongoza njia mpaka kwake
Kijana kiasi anauliza uliza kwa mweenyeji wake kunbe mzee kaishafika home

Dogo anafika anakutana na mganga ndio mzee aliemtukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…