LeBron TZ
Senior Member
- Sep 26, 2018
- 176
- 207
Hiyo interview ilikua na ya watu wa mapokezi nini. Maana huwez mnyima mtu kazi kwa suala kama hilo, mtu ana profession yake na anaonekana kazi aweza.Kuna mmoja alikataa kumpisha mzee kwenye daladala akiwa anaenda interview wakashuka wote kwenye basi
Kuingia ofisi ya interview akakuta yule mzee ndie wa kumhoji oral interview
Kilichofuata alimwamkia tu mzee akamwambia nenda.Alitoka analia akajua kitakachofuata.Hakupata kazi