Nasema ukweli kuhusu uganga

hajakabidhiwa huo uganga ila mambo yake s ya kitoto kuna siku alinmbia aliamka saa saba za usiku anaons mtu kabeba moto anakimbia nikamwambia na wewe ukawa bado tu unamuagalia utakua kichwani kwako una mwenzio
Atakabidhiwa na nani wakati bibi kafariki? Au kuna mganga mwingine kwao?
 
Unakuta kijana mdogo tu , anaamini kuna watu wanamloga , dah bado ukombozi wa fikra ni changamoto kubwa .
Wewe kama huamini kwamba uchawi upo waulize matajiri na Watu wenye mafanikio makubwa wanajua vizuri Sana nguvu za rohoni(mwanga na Giza)na wanajua namna ya kuzitumia na kukabiliana nazo.
 
Wewe kama huamini kwamba uchawi upo waulize matajiri na Watu wenye mafanikio makubwa wanajua vizuri Sana nguvu za rohoni(mwanga na Giza)na wanajua namna ya kuzitumia na kukabiliana nazo.
Matajiri ndio kina nan , thibitisha uchawi upo
 
Uchawi na uganga vinafanya kazi kwenye koo au kabila kama kwenye ukoo wenu hakuna wachawi basi uko sahihi kusema uchawi haupo
Hiyo hapo orodha ya matajiri wasio amini habari za Mungu wala uchawi.

1. Bill Gates

2. Elon Musk

3.Larry Page

4. Sergey Brin( huyu ni myahudi kiasili)
 
Sawa. Unaposema Kuna nguvu za Giza basi una maanisha Kuna nguvu za kwenye mwanga pia(Nuru)
Ndio, za kwenye nuru ni zile zilizofunuliwa kanuni na kuwekwa wazi.

Kanuni zake, white ni white na black ni black hazina grey in between.

Sio kama za giza zitaficha baadhi ya mambo hadi pale utakapofungamana nazo ndipo watakufunulia nyingine ambayo walizificha mwanzo (ulaghai).
 
Wazazi wako wangekuwa wameshakuendea kwa waganga uachane na ushoga
 
Hiyo hapo orodha ya matajiri wasio amini habari za Mungu wala uchawi.

1. Bill Gates

2. Elon Musk

3.Larry Page

4. Sergey Brin( huyu ni myahudi kiasili)
Wazungu walishadhibiti uchawi kitambo Sana miaka ya zamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…