Umesema waganga wote wanatumia uchawi nguvu za kiza nikapinga.
Sababu wapo waganga wanaotibu wacha Mungu, kwanza elewa maana ya mganga mtu anae tibu ndo maana ukienda hospital unakuta Mganga 1 Mganga 2 yaani chumba cha Daktari/Doctor hivyo basi waganga kila mmoja ana aina yake ya uganga asli kama wa majini wa kichawi,majini wa miti shamba majini ya vitabu sasa hapo ndo wana tofautiana kuna waganga harogi mtu hashirikiani na wachawi yeye tiba zake anategemea zaidi Mungu kuponyesha anafanya dua anakupa kombe za shifaa na dawa za kiarabu wakati mwingine ana changanya kutibu kichawi miti shamba anaponyesha na anaroga inategemea unaenda na shida ipi anashirikiana na wachawi.