Nasema ukweli kuhusu uganga

Nasema ukweli kuhusu uganga

Sijakuita kaka ila nimesema kaka yangu mganga anatibu tena wako wa 2 ila hawajapitia hayo ndo maana nikasema uganga hauna formula Kuna vitu umeelezea sio wote wanavipitia au vinawatokea kila jinn ruhan ana namna yake, Kuna uganga wa kitabu kuna uganga wa miti shamba mwingine anakuwaw nao wote.
Kaka zako wote wawili ni waganga?
 
I don't understand...uganga ni ulozi kwa jinsi imani yangu inavyoelekeza. Na sababu kubwa ni namna unavyoendeshwa. Kwahiyo binafsi sishiriki kabisa uganga wa aina yoyote. After all, kuna sala za malaika wema zinawakimbiza hao mashetani yenye nia ovu
 
Umesema waganga wote wanatumia uchawi nguvu za kiza nikapinga.

Sababu wapo waganga wanaotibu wacha Mungu, kwanza elewa maana ya mganga mtu anae tibu ndo maana ukienda hospital unakuta Mganga 1 Mganga 2 yaani chumba cha Daktari/Doctor hivyo basi waganga kila mmoja ana aina yake ya uganga asli kama wa majini wa kichawi,majini wa miti shamba majini ya vitabu sasa hapo ndo wana tofautiana kuna waganga harogi mtu hashirikiani na wachawi yeye tiba zake anategemea zaidi Mungu kuponyesha anafanya dua anakupa kombe za shifaa na dawa za kiarabu wakati mwingine ana changanya kutibu kichawi miti shamba anaponyesha na anaroga inategemea unaenda na shida ipi anashirikiana na wachawi.
Hapo nimekuelewa.
 
daah umenikumbusha mwaka 2018 kuna dada alisema anaumwa sasa kazunguk makanisani kote lakn anapoa kidgo then mapepo yanarudi tena
sasa akasema alivyoend kwa waganga kadha walimuambia hayo sio mapepo ni mizim yao inamtaka awe mganga
sas yule dada alikua hatak kukubali hiyo hali anavyo nisimulia nilivheka sana akahitimishankwa kusema kwa sas hana namn inabid akubali tu maana anatesek sana
 
Uganga umekatazwa kwenye vitabu vitakatifu vya Mungu. Waelimishe watu kuwa, Waganga na wale waendano wa waganga sehemu yao ni ktk lile ziwa liwakalo moto siku ya hukumu.
''Mganga wetu yu karibu, Hashindwi na Uchawi... ''

Huo wimbo unauzungumziaje?
 
haya mambo ya uganga yanahusisha imani, kwahyo wale wanaoenda kwa waganga kupata msaada wakiwa na imani wanapata

tunachotofautiana hapa ni matokeo ya kile tunachopata

ukienda kwa waganga (wachawi) wa dunia hii utapata ufumubuzi wa tatizo lako kwa muda tu ila shida haitakwisha

ila ukienda kwa mganga mkuu "Yesu Kristo" utapata majibu ya matatizo yako na shida zote zitakwisha
 
Seriously! Karne hii ya 21. Achana na uganga hauna tija.
 
Back
Top Bottom