Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kwani nasema uongo ndugu zangu?........huwa wanasema sisi wanaume wafupi huwa hatujiamini...lakini nimekuja kugundua sifa hizi zifuatazo mwanaume mfupi akiwa nazo huwa zinamuongezea kujiamini au zinamfanya ajiamini.
( a ) Ukiwa msomi walau shahada moja na kuendelea lakini kwenye hiyo elimu yako uwe vizuri kama ni mtu wa kada za afya basi hubahatishi katika suala la matibabu...
( b) Uwe mweupe weupe ninaouongelea hapa ni kama ule wa yule msainii wa maigizo Hemedi PHD au doctor Cheni hii pia inakufanya kukuongezea kujiamini sehemu nyingine watakubatiza jina la white au muda mwingine watu wengine wanaweza kukuona unajisikia kutokana na rangi yako na hii ni pale kama ukiwa huna shobo hasa kwa wanawake.
( c) Ukiwa na pesa walau ya kubadirisha mboga hii nayo hukuongezea kujiamini....kwa leo ngoja niishie hapa..