Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Wakuu,
Huyu Dada ana mwonekano/sura nzuri sana ya kishombeshombe.
Yaani huyu kama hajaolewa na bilionea nahama mji kabisa.
Mwenye details za marital status yake atujuze hapa,
Ili kama bado hajaolewa
tuanze kudunduliza mahari fasta.
[emoji39] [emoji39] [emoji39]