Nash Abdallah anayesoma magazeti Star Tv asubuhi

Nash Abdallah anayesoma magazeti Star Tv asubuhi

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
Wakuu,
Huyu Dada ana mwonekano/sura nzuri sana ya kishombeshombe.

Yaani huyu kama hajaolewa na bilionea nahama mji kabisa.

Mwenye details za marital status yake atujuze hapa,
Ili kama bado hajaolewa
tuanze kudunduliza mahari fasta.

[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Sura pekee haitoshi kuwa mke, angalia tabia, mwonekano wa nje na ndani n.k.
 
huna details zake afu anasema kama hajaolewa na biliomea unahama sijui nini huko eboh!
 
Picha ni muhimu sana kuliko maneno yako
Mkuu Gojaga Nize huyu hapa...Ni kama mtoto wa Kimanga au Mgunya wa Mombasa
Ana jicho la kungu....Hatari sana pale kwenye eneo la kumi na 8
image.jpeg
image.jpeg
 
Mmh!wakawaidaaa sana.Muambie asimame tuone alivyorithi kutoka kwa bibi yake
 
Back
Top Bottom