Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

hip-hop lasted and survived all these year's that you have to give it credit,
Even thought it's not up to people expectations anymore,it's still there and that's say's alot"

-Nas!
 
Huyu msela mavi Nash aache upimbi asikilize vijana wanavyofanya mambo. La sivyo ataendelea kuwaimbia wagumu wenzake.

Niache kuskiza maujanja kama haya niskize frustrations zake.

Huyu msela mavi Nash aache upimbi asikilize vijana wanavyofanya mambo. La sivyo ataendelea kuwaimbia wagumu wenzake.

Niache kuskiza maujanja kama haya niskize frustrations zake.

DoGo Hiki Choo cha kihuni, kata GoGo sepa... Tutakubaka
 
Huyu msela mavi Nash aache upimbi asikilize vijana wanavyofanya mambo. La sivyo ataendelea kuwaimbia wagumu wenzake.

Niache kuskiza maujanja kama haya niskize frustrations zake.

Mkuu unahisi upo sahihi kumtukana Nash?
 
Nipo sahihi mkuu. Nash akikatiza kitaani kwetu tunaweza muitia mwizi kwa muonekano tu.
Nimeangalia umri wako kwenye profile kama ndiyo umri wako huo sijibu kitu....

Samahani brother.
 
Huyu msela mavi Nash aache upimbi asikilize vijana wanavyofanya mambo. La sivyo ataendelea kuwaimbia wagumu wenzake.

Niache kuskiza maujanja kama haya niskize frustrations zake.

Sio 'frustrations zake' mkuu. Bali anarepresent the poor community ambayo ndo the majority.

Au unataka wasanii wote waimbe kuhusu 'bata' wakiwa nusu uchi kwenye video eeh?

Jamii inahitaji wasanii wa aina zote. Miongoni mwa kazi za fasihi ni kuelimisha na kuonya.

So acha kukebehi music wa Nash. Kuna a lot of followers wanaomuelewa anachokifanya.

Jamii doesn't learn anything potential kwenye hizo nyimbo zenu za bata.

-Kaveli-
 
Huyo zuzu kama anavyojiita hajawai iwakilisha jamii anaimba frustrations zake na kutukana wenzake plus chuki wivu kijiba kwa wasanii wenzake wanaofanya vizuri.

Kuna wanaHiphop hawaimbi bata na mziki wao tunaupenda na wanaimba kuhusu jamii haswa sio huyo msela mavi.
 
Uchambuzi murua kabsa mkuu, salute.

Hakika nyimbo hii Maalim Nash ameipika ikapikika. Ni sanaa ambayo inareflect maudhui zaidi ya moja. Yani haina jibu moja tu, na hii ndo FASIHI iloshiba.

Hii pini hata huku kitaa wadau wanaichambua ktk mitazamo tofauti tofauti.

Kuna mzee fulani hivi rafiki yangu ni dereva taxi, anapenda sana kusikiliza nyimbo za hip hop. Basi juzi nikameet nae, ananiambia "hii nyimbo, huyu kijana Nash amerusha jiwe gizani".

-Kaveli-
 
Ngoma kama hizi ndio zinafanya hip hop isiwe na mashabiki wengi... Na nyimbo za akina darasa ziendelee kuwa popular

Hahaha mkuu umenichekesha sana kwa hayo maneno kuntu.

Watu wanataka nyimbo za Bata. Ndo maana unakuta 'Weka mziki' ya Darasa ina listeners wengi kuliko 'Shujaa' au 'Naandika' za Maalim Nash.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…