Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu msela mavi Nash aache upimbi asikilize vijana wanavyofanya mambo. La sivyo ataendelea kuwaimbia wagumu wenzake.
Niache kuskiza maujanja kama haya niskize frustrations zake.
Huyu msela mavi Nash aache upimbi asikilize vijana wanavyofanya mambo. La sivyo ataendelea kuwaimbia wagumu wenzake.
Niache kuskiza maujanja kama haya niskize frustrations zake.
Ona sasa mashabiki wake akili zenu, alafu unataka wenye akili timamu tumsikize huyu mpuuzi.DoGo Hiki Choo cha kihuni, kata GoGo sepa... Tutakubaka
Mkuu unahisi upo sahihi kumtukana Nash?
Nimeangalia umri wako kwenye profile kama ndiyo umri wako huo sijibu kitu....Nipo sahihi mkuu. Nash akikatiza kitaani kwetu tunaweza muitia mwizi kwa muonekano tu.
Nimeangalia umri wako kwenye profile kama ndiyo umri wako huo sijibu kitu....
Samahani brother.
Hili ndio jibu la muulizaji
Akili zako fupi kama kimba, hatutaki u****nge hapa... Kula konaOna sasa mashabiki wake akili zenu, alafu unataka wenye akili timamu tumsikize huyu mpuuzi.
Huyu msela mavi Nash aache upimbi asikilize vijana wanavyofanya mambo. La sivyo ataendelea kuwaimbia wagumu wenzake.
Niache kuskiza maujanja kama haya niskize frustrations zake.
Haya wanaharakati endeleeni kujazana ujinga nawaacha. Sisi acha tuskize mziki mzuri hiphop za kinyamwezi.Akili zako fupi kama kimba, hatutaki u****nge hapa... Kula kona
Huyo zuzu kama anavyojiita hajawai iwakilisha jamii anaimba frustrations zake na kutukana wenzake plus chuki wivu kijiba kwa wasanii wenzake wanaofanya vizuri.Sio 'frustrations zake' mkuu. Bali anarepresent the poor community ambayo ndo the majority.
Au unataka wasanii wote waimbe kuhusu 'bata' wakiwa nusu uchi kwenye video eeh?
Jamii inahitaji wasanii wa aina zote. Miongoni mwa kazi za fasihi ni kuelimisha na kuonya.
So acha kukebehi music wa Nash. Kuna a lot of followers wanaomuelewa anachokifanya.
Jamii doesn't learn anything potential kwenye hizo nyimbo zenu za bata.
-Kaveli-
"Hakuna aliyetegemea kama ungerejea hasa kipindi hiki ambacho mengi yametokea, achana na maneno wapumbavu wanayoongea, kwa vita uliyopigana tulidhani ungendondoka kwa ushindi wako huu nakuongezea nyota, kweli umedhiirisha wewe ni mzizi usiyong'oka"
Mkuu Kaveli big up sana kwa kuleta hili goma la kusumbua ubongo... Maalim mcee mzee wa V.V.U kwa hii ngoma namfananisha na Hopsin. Ngoma za huyu muhuni huwa zina multiple interpretations.
Kwenye hii ngoma shujaa ni kama thamani "x" kwenye Quadratic equation hapa utapata jibu la positive na negative na yote ni majibu sahihi.
Binafsi hii ngoma naona maudhui yaliyomo yamelenga serikali ya awamu ya tano kwa kiasi kikubwa.
Ukisikiliza mwanzoni mwa verse ya pili(kipande nilichonukuu hapo juu) utaona ni kama ana sifia wapambanaji wa vita vya madawa ya kulevya na kuwapondea wote wanatoa tuhuma dhidi ya bashite. Hapa shujaa ni bashite
Hapo hapo kwenye verse ya pili inaonyesha awamu hii hatuna mtetezi na mtetezi wetu pekee ni kupaza sauti lakini sauti hiyo nani wa kuipaza kila mtu anaogopa!? Hapa inaamisha hatujapata shujaa bado na sisi wenyewe ndio mashujaa lakini hatujui kama sisi ndio mashujaa.
Ngoja ntaendelea baadae...
Ngoma kama hizi ndio zinafanya hip hop isiwe na mashabiki wengi... Na nyimbo za akina darasa ziendelee kuwa popular