Mkuu salute kwako umewaza sana arifu.
Maalumu hii ngoma amekusanya matukio mengi sana na kuyaweka humo ndani na kila moja kalipa uzito sawa na ndio maana ina consume a lot of brainpower kung'amua na hatimae kupata kitu kimoja kinacho summerize ngoma nzima.
Ukisikiliza verse ya kwanza na ya pili utaona bora ya pili ndio inayotoa muongozo kwa urahisi na kukupa the whole idea ya ngoma.
Huu muziki wa hip hop bhana muda mwingine ukisimamia misingi yake kwa uthabiti unaleta shida kwa hadhira.
Ndio maana akina joh makini wameamua kukimbilia kutunga nyimbo za disco tu.
hip-hop lasted and survived all these year's that you have to give it credit,
Even thought it's not up to people expectations anymore,it's still there and that's say's alot"
-Nas!
Haya wanaharakati endeleeni kujazana ujinga nawaacha. Sisi acha tuskize mziki mzuri hiphop za kinyamwezi.
Huyo zuzu kama anavyojiita hajawai iwakilisha jamii anaimba frustrations zake na kutukana wenzake plus chuki wivu kijiba kwa wasanii wenzake wanaofanya vizuri.
Kuna wanaHiphop hawaimbi bata na mziki wao tunaupenda na wanaimba kuhusu jamii haswa sio huyo msela mavi.
Mkuu kuliko kufungwa na Spurs au Chelsea ni heri tufungwe na timu ya championship. Kipigo cha Jana ilikuwa ni sindano ya utosi! Kinauma.Mkuu pole kwa musiba wa leo the gunners.
Inasikitisha top four sasa mashakani!Mkuu kuliko kufungwa na Spurs au Chelsea ni heri tufungwe na timu ya championship. Kipigo cha Jana ilikuwa ni sindano ya utosi! Kinauma.
"Msela mavi Nash" Huu usela mavi ni upi unaouzungumuzia Mkuu...?Huyu msela mavi Nash aache upimbi asikilize vijana wanavyofanya mambo. La sivyo ataendelea kuwaimbia wagumu wenzake.
Niache kuskiza maujanja kama haya niskize frustrations zake.
Hakika Soko na pesa vinawatesa!Kama anachoimba hakimpi hela basi asijipe ushujaa akauze ata ubuyu. Haya maisha sio ujanja kuwa msela njaa.
Unajua top four mimi naona hatutakiwi kuingia kabisa.... Hadi pale tutakapokuwa na kocha na sio huyu Mzee wa kifaransa.Inasikitisha top four sasa mashakani!
Vipi kumbe na wewe ni mwanamalundi...?
Hakika Soko na pesa vinawatesa!
Kausikilizi wimbo huu"Soko na Pesa" Nadhani Jibu lako la Msela Njaa utalipata vilivyo..
Ukishindwa kumuelewa katika ngoma hiyo basi endelea kumsikiliza- Bonge la Nyau a.k.a Big puccy!
Safi sana mwanamalundi mwenzangu...wafurahishe waliokaribu waliombali watasogea.Unajua top four mimi naona hatutakiwi kuingia kabisa.... Hadi pale tutakapokuwa na kocha na sio huyu Mzee wa kifaransa.
Ndio mzazi mimi ni mwana wa mwanamlundi, nisiyetaka kuonekana ovyo kama bundi, si unajua now wengi hawatupendi.
Hapo inahitaji Nguvu ya ziada kumpa darsa mtu wa aina hiyo.Ninapoona mtu anasema mziki wa hip hop kama haukulipi basi ni sawa na bure kwanza huwa napata mashaka na uelewa wake kama hata kweli anajua msingi wa hip hop ni nini.
Huyo jamaa bila shaka ndio lile kundi la akina shetta wanaotamani kufanya hip hop itakayochezwa hadi kwenye vogodoro.