Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

Mkuu salute kwako umewaza sana arifu.

Maalumu hii ngoma amekusanya matukio mengi sana na kuyaweka humo ndani na kila moja kalipa uzito sawa na ndio maana ina consume a lot of brainpower kung'amua na hatimae kupata kitu kimoja kinacho summerize ngoma nzima.

Ukisikiliza verse ya kwanza na ya pili utaona bora ya pili ndio inayotoa muongozo kwa urahisi na kukupa the whole idea ya ngoma.

Huu muziki wa hip hop bhana muda mwingine ukisimamia misingi yake kwa uthabiti unaleta shida kwa hadhira.

Ndio maana akina joh makini wameamua kukimbilia kutunga nyimbo za disco tu.

Hahaha wanajiita Weusi. Wanafanya 'modern hipHop'.. commercial kind of.

-Kaveli-
 
hip-hop lasted and survived all these year's that you have to give it credit,
Even thought it's not up to people expectations anymore,it's still there and that's say's alot"

-Nas!

Nas the son of God. Thanks mkuu kwa hiyo QUOTE murua from Nas.

-Kaveli-
 
Tatizo la Nash hapedi kukosolewa,na anajifanya ni mjuaji sana.

Okay mkuu Davis. But let's shoot to the topic... Kwa mtazamo wako kwenye hiyo track, huyo SHUJAA ni nani exactly?

-Kaveli-
 
Haya wanaharakati endeleeni kujazana ujinga nawaacha. Sisi acha tuskize mziki mzuri hiphop za kinyamwezi.

Mziki mzuri (good music) is sometimes a subjective term.

Ndo maana kuna wanaume na ndevu zao wanapenda kusikiliza Taarab, na ndo 'good music' kwa wao.

-Kaveli-
 
Huyo zuzu kama anavyojiita hajawai iwakilisha jamii anaimba frustrations zake na kutukana wenzake plus chuki wivu kijiba kwa wasanii wenzake wanaofanya vizuri.

Kuna wanaHiphop hawaimbi bata na mziki wao tunaupenda na wanaimba kuhusu jamii haswa sio huyo msela mavi.

Hata hao waimba bata... hutukanana na kurushiana maneno ya kwenye kanga.

-Kaveli-
 
Mkuu pole kwa musiba wa leo the gunners.
Mkuu kuliko kufungwa na Spurs au Chelsea ni heri tufungwe na timu ya championship. Kipigo cha Jana ilikuwa ni sindano ya utosi! Kinauma.
 
Mkuu kuliko kufungwa na Spurs au Chelsea ni heri tufungwe na timu ya championship. Kipigo cha Jana ilikuwa ni sindano ya utosi! Kinauma.
Inasikitisha top four sasa mashakani!

Vipi kumbe na wewe ni mwanamalundi...?
 
"Public Enemy is the security of the hip hop party"
 
hip hop is still cool at party,but to me hip hop has never been strictly a party...It's also there to elevate consciousness

Asiye husika na Hip Hop atokeee!
 
Huyu msela mavi Nash aache upimbi asikilize vijana wanavyofanya mambo. La sivyo ataendelea kuwaimbia wagumu wenzake.

Niache kuskiza maujanja kama haya niskize frustrations zake.

"Msela mavi Nash" Huu usela mavi ni upi unaouzungumuzia Mkuu...?

Hip hop inatoa Maarifa kwa faida ya Mtaa! Inaburudisha,inaonya na kutetea tabaka linalogandamizwa katika Jamii bila kusahau ukombozi wa kifikra!

Pia haimulazimishi Mtu yoyote kupenda/kuing'ang'ania kama unaona haikupendezi unaachana nayo na kufanya mambo mengine.

Hip hop kama bus lisilo na kituo cha mwisho!
 
Kama anachoimba hakimpi hela basi asijipe ushujaa akauze ata ubuyu. Haya maisha sio ujanja kuwa msela njaa.
Hakika Soko na pesa vinawatesa!

Kausikilizi wimbo huu"Soko na Pesa" Nadhani Jibu lako la Msela Njaa utalipata vilivyo..

Ukishindwa kumuelewa katika ngoma hiyo basi endelea kumsikiliza- Bonge la Nyau a.k.a Big puccy!
 
Nash Uchebe anaandika vizuri sana lakini tatizo lake ujuaji mwingi mno ..yan anajikuta kama yeye peke yake ndo amezaliwa kwenye nguzo zote .Hataki kukosolewa
 
Inasikitisha top four sasa mashakani!

Vipi kumbe na wewe ni mwanamalundi...?
Unajua top four mimi naona hatutakiwi kuingia kabisa.... Hadi pale tutakapokuwa na kocha na sio huyu Mzee wa kifaransa.

Ndio mzazi mimi ni mwana wa mwanamlundi, nisiyetaka kuonekana ovyo kama bundi, si unajua now wengi hawatupendi.
 
Hakika Soko na pesa vinawatesa!

Kausikilizi wimbo huu"Soko na Pesa" Nadhani Jibu lako la Msela Njaa utalipata vilivyo..

Ukishindwa kumuelewa katika ngoma hiyo basi endelea kumsikiliza- Bonge la Nyau a.k.a Big puccy!

Ninapoona mtu anasema mziki wa hip hop kama haukulipi basi ni sawa na bure kwanza huwa napata mashaka na uelewa wake kama hata kweli anajua msingi wa hip hop ni nini.

Huyo jamaa bila shaka ndio lile kundi la akina shetta wanaotamani kufanya hip hop itakayochezwa hadi kwenye vogodoro.
 
Unajua top four mimi naona hatutakiwi kuingia kabisa.... Hadi pale tutakapokuwa na kocha na sio huyu Mzee wa kifaransa.

Ndio mzazi mimi ni mwana wa mwanamlundi, nisiyetaka kuonekana ovyo kama bundi, si unajua now wengi hawatupendi.
Safi sana mwanamalundi mwenzangu...wafurahishe waliokaribu waliombali watasogea.

Wengi wanapenda nyimbo zenye 90% Jumbe za ngono na pombe na starehe Sasa najiuliza vipi kuhusu wadogo zetu nao wanafaidi anasa itadhuru zaidi ya kansa!
 
Ninapoona mtu anasema mziki wa hip hop kama haukulipi basi ni sawa na bure kwanza huwa napata mashaka na uelewa wake kama hata kweli anajua msingi wa hip hop ni nini.

Huyo jamaa bila shaka ndio lile kundi la akina shetta wanaotamani kufanya hip hop itakayochezwa hadi kwenye vogodoro.
Hapo inahitaji Nguvu ya ziada kumpa darsa mtu wa aina hiyo.

Kumbuka kama mtu ni mvivu kufikirisha ubongo wake hawezi kuipenda kamwe hip hop...hivyo hatuhitaji Nguvu nyingi kubishana na wabishi.

"Bora kuogopwa wakikupenda Watakuchukia"
 
Back
Top Bottom