Hapo inahitaji Nguvu ya ziada kumpa darsa mtu wa aina hiyo.
Kumbuka kama mtu ni mvivu kufikirisha ubongo wake hawezi kuipenda kamwe hip hop...hivyo hatuhitaji Nguvu nyingi kubishana na wabishi.
"Bora kuogopwa wakikupenda Watakuchukia"
Safi sana mwanamalundi mwenzangu...wafurahishe waliokaribu waliombali watasogea.
Wengi wanapenda nyimbo zenye 90% Jumbe za ngono na pombe na starehe Sasa najiuliza vipi kuhusu wadogo zetu nao wanafaidi anasa itadhuru zaidi ya kansa!
Hahaha watu wanachuki za moyo wanapenda ufanye kazi ila usinunue viatu!!Ahahaha......na wakikuchukia chuki zao hazitaishia kwako tu bali hata kwa wanao kupenda.
Mziki wa hip hop bongo bado una safari ndeefu sana mkuu.
Alikuwa sahihi katika Mtazamo wake huo...kweli kunachangamoto kubwa haswa kama msanii unautafuta utajiri kupitia hip hop.Kuna siku nilimskia Adam mchomvu anasema mziki wa kianaharakati zama hizi ni kama kupanda miogo kwenye shamba la miwa ukitegemea itakuwa mitamu kama miwa.
Vijana wanataka nyimbo za kucheza kwenye madisco.
Alikuwa sahihi katika Mtazamo wake huo...kweli kunachangamoto kubwa haswa kama msanii unautafuta utajiri kupitia hip hop.
Kizazi hiki cha sasa kweli wanapenda muziki burudani na si muziki Elimu na Maarifa.
Mtaani baadhi ya watu huwa wakishika simu yangu wanashangaa kwasababu atakutana na Nash mc,dizasta,fid q akigeuka atakutana na Hashimu dogo,solo thang, roho saba,Saigon,mabovu na n.k
Ni bora nisikie hip hop kwa sababu napata vitu viwili kwa wakati mmoja Elimu,kufikirisha ubongo na buradani..huku upande ule wakipata kimoja kisicho na maana kubwa!
"Kila siku Siasa,Umalaya na Anasa-Immam Abbas"
Nash MC, mpalestina chizi, mc pekee mwenye vvu, IS a.k.a Korea kaskazini. Dah!! Kila nikiamka nasilizaga VINA MPAKA UCHINA. afu nikianza kulala nasikiliza ZIMA!!!
Mpishi Mkuu!!!Nash mceee
ambo?upo?Asiyehusika na hipHop, atokeee !
-Kaveli-
poa tu wanguNipogo best. Za masiku mengi mpendwa, uko poa?
-Kaveli-