Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

Hapo inahitaji Nguvu ya ziada kumpa darsa mtu wa aina hiyo.

Kumbuka kama mtu ni mvivu kufikirisha ubongo wake hawezi kuipenda kamwe hip hop...hivyo hatuhitaji Nguvu nyingi kubishana na wabishi.

"Bora kuogopwa wakikupenda Watakuchukia"

Ahahaha......na wakikuchukia chuki zao hazitaishia kwako tu bali hata kwa wanao kupenda.

Mziki wa hip hop bongo bado una safari ndeefu sana mkuu.
 
Safi sana mwanamalundi mwenzangu...wafurahishe waliokaribu waliombali watasogea.

Wengi wanapenda nyimbo zenye 90% Jumbe za ngono na pombe na starehe Sasa najiuliza vipi kuhusu wadogo zetu nao wanafaidi anasa itadhuru zaidi ya kansa!

Kuna siku nilimskia Adam mchomvu anasema mziki wa kianaharakati zama hizi ni kama kupanda miogo kwenye shamba la miwa ukitegemea itakuwa mitamu kama miwa.

Vijana wanataka nyimbo za kucheza kwenye madisco.
 
Ahahaha......na wakikuchukia chuki zao hazitaishia kwako tu bali hata kwa wanao kupenda.

Mziki wa hip hop bongo bado una safari ndeefu sana mkuu.
Hahaha watu wanachuki za moyo wanapenda ufanye kazi ila usinunue viatu!!

Ndio hip hop kwa bongo bado kunachangamoto hata baadhi ya maeneno ulimwenguni bado inachangamoto lakini gurudumu linasonga taratibu.

"Utumwa wa media" Zuzu-Dagama
 
Kuna siku nilimskia Adam mchomvu anasema mziki wa kianaharakati zama hizi ni kama kupanda miogo kwenye shamba la miwa ukitegemea itakuwa mitamu kama miwa.

Vijana wanataka nyimbo za kucheza kwenye madisco.
Alikuwa sahihi katika Mtazamo wake huo...kweli kunachangamoto kubwa haswa kama msanii unautafuta utajiri kupitia hip hop.

Kizazi hiki cha sasa kweli wanapenda muziki burudani na si muziki Elimu na Maarifa.
Mtaani baadhi ya watu huwa wakishika simu yangu wanashangaa kwasababu atakutana na Nash mc,dizasta,fid q akigeuka atakutana na Hashimu dogo,solo thang, roho saba,Saigon,mabovu na n.k

Ni bora nisikie hip hop kwa sababu napata vitu viwili kwa wakati mmoja Elimu,kufikirisha ubongo na buradani..huku upande ule wakipata kimoja kisicho na maana kubwa!

"Kila siku Siasa,Umalaya na Anasa-Immam Abbas"
 
Keyon.

Nakupa salute kwa udadavuzi wa mambo haya, sio wote wanayajua hivi hata kwa wale wanaofuatilia.

Nadhani hata mashabiki wengi nao pia wamechangia kuwaharibu/kuwabadirisha wasanii wa hip hop bongo... Hip hop ya mwanzoni mwa 2000 ilikuwa imesimama kuliko hata bongo fleva na hata bongo fleva wenyewe walikuwa wanakaaa kwa wasanii wa hip hop.

Sababu ni nini!!! Msanii aliangalia ni jinsi gani kitakubalika katika jamii kwa watu wa aina zote, lakini Leo hii msanii anatoa kitu huku akilenga nyimbo itamuingizia shingapi haijalishi hata kama kuna watu wataona ni ya kipuuzi.

Na ndio maana hata watu kama Joh, Chege,Jaffarah sio wale wa kipindi kile tena...!! wamechange.

Hip hop siku hizi ni burudani na sio sehemu ya kufikirisha ubongo.

Si unaona hata huu Uzi ulivyokosa wachangiaji lakini ingekuwa ni nyimbo ya weusi imetoka ungefika hata page 20+.
 
sema hapo pa temeke et Nash na nature nani ana heshima kitaa tutabishana hadi uchaguzi ujao...
 
Nash MC, mpalestina chizi, mc pekee mwenye vvu, IS a.k.a Korea kaskazini. Dah!! Kila nikiamka nasilizaga VINA MPAKA UCHINA. afu nikianza kulala nasikiliza ZIMA!!!
 
Nash MC, mpalestina chizi, mc pekee mwenye vvu, IS a.k.a Korea kaskazini. Dah!! Kila nikiamka nasilizaga VINA MPAKA UCHINA. afu nikianza kulala nasikiliza ZIMA!!!

Hahaha ZIMA ni balaa ile pini. Uchebe Chaka a. k. a Zuzu wa 'mitihani'.

-Kaveli-
 
Wakuu wangu Keyon na Lizarazu, salute kwenu.

Mnachambua mambo haya kwa kiwango cha juu kabisa.

"Hip Hop Lives '' - KRS ONE.

-Kaveli-
 
"My mama always used to tell me if you cant find somethin' to live for,
You best find somethin' to die for"

----Tupac Shakur----
 
Back
Top Bottom