Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Hapo inahitaji Nguvu ya ziada kumpa darsa mtu wa aina hiyo.
Kumbuka kama mtu ni mvivu kufikirisha ubongo wake hawezi kuipenda kamwe hip hop...hivyo hatuhitaji Nguvu nyingi kubishana na wabishi.
"Bora kuogopwa wakikupenda Watakuchukia"
Ahahaha......na wakikuchukia chuki zao hazitaishia kwako tu bali hata kwa wanao kupenda.
Mziki wa hip hop bongo bado una safari ndeefu sana mkuu.