Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

Kuna mdada mmoja humu JF anapenda sana hipHop, daaah nimemsahau ID yake. Natamani aje kipande hii aisikilize 'Shujaa'.

-Kaveli-
 
''...wachezaji hoi, yani chama langu awamu hii hatuna kocha,
Benchi lake la ufundi kila mmoja analopoka,
Nani wa kuyasema na wenzio wanaogopa kambini weshatoroka... ''

hahahaa Emcee Nash a.k.a Zuzu

-Kaveli-
Kwakweli chama hili awamu hii hatuna kocha..

Kwani hamuoni benchi lake la ufundi wanavyoropoka na wengine kambini washatoroka?

Hatuna kocha!
 
Kwakweli chama hili awamu hii hatuna kocha..

Kwani hamuoni benchi lake la ufundi wanavyoropoka na wengine kambini washatoroka?

Hatuna kocha!

hahahaaa mkuu, umenifanya nismile biiiig sana yani. Kwakweli chama hili awamu hii hatuna kocha. Na kila mmoja anaropoka ...teh teh teh

-Kaveli-
 
Hii ni hipHop, tafsiri unavyoweza. Na ukizidi kuona nyota nyota, kasikilize singeli.

BTW... ushawahi kupanua ubongo wako kuhusu kitu kinaitwa 'Phonology' ?

-Kaveli-
Ungejibu tu bro kwa busara maana sisi mashabiki wenyewe.Hilo ni neno tata.Na kuuliza hivyo haimaanishi kuwa mimi nipo kinyume cuz namjua na kumuelewa Nash kabla ya WaPi na Batu Records alipokuwa akigongewa midundo na Ray Technohama na kabla Technohama hajapewa jina na Chief Ramso.
 
''... na wengine kambini weshatoroka''. chama halina kocha awamu hii.

SHUJAA, this is really hot shitt !

-Kaveli-
 
Mazee nitatia neno muda mwingine... Kaveli hiyo track iweke humu ili tuipakue kiurahisi

I love hiphop.
 
Ungejibu tu bro kwa busara maana sisi mashabiki wenyewe.Hilo ni neno tata.Na kuuliza hivyo haimaanishi kuwa mimi nipo kinyume cuz namjua na kumuelewa Nash kabla ya WaPi na Batu Records alipokuwa akigongewa midundo na Ray Technohama na kabla Technohama hajapewa jina na Chief Ramso.

Vizuri if you are a real hip hop fan. That's a primary commonality between me & you. Chill. Nini chief Ramso, mie nimeanza kufuatilia hipHop tangu enzi za Chief Rhymeson.

BUT, hicho ulichoeleza ndiyo jibu la swali langu nilokuuliza?

Narudia swali... unafahamu chochote kuhusu PHONOLOGY?

-Kaveli-
 
Kuna mdada mmoja humu JF anapenda sana hipHop, daaah nimemsahau ID yake. Natamani aje kipande hii aisikilize 'Shujaa'.

-Kaveli-
cc Mama kibunju, long time Enzi za Kwanza Unit..........KBC, Chief Ramso, D rob etc
 
Vizuri if you are a real hip hop fan. That's a primary commonality between me & you. Chill. Nini chief Ramso, mie nimeanza kufuatilia hipHop tangu enzi za Chief Rhymeson.

BUT, hicho ulichoeleza ndiyo jibu la swali langu nilokuuliza?

Narudia swali... unafahamu chochote kuhusu PHONOLOGY?

-Kaveli-
Yeap!Mfano jinsi neno 'atokeee' likitamkwa.Nilipita kushoto kwa makusudi ili nipate knowledge.
 
Mazee nitatia neno muda mwingine... Kaveli hiyo track iweke humu ili tuipakue kiurahisi

I love hiphop.

Karibu sana mkuu wangu wa kazi kaka Daby , nafurahi kuona wewe pia huwa upo kwenye comfort zone ya hipHop. Nice.

Mkuu, hiyo track nimeiattach hapo kwenye bandiko. Ipo hapo, cheki vizuri. Isikilize kaka, nyimbo tamu sana toka kwa Maalim.

-Kaveli-
 
Ahsante -Kavel-

Kwa Mtazamo wangu na kwa jinsi nilivyouelewa wimbo Huu"shujaa"

Nauweka katika vipande viwili au magagara mawili.
1. Kutokana na wimbi kubwa kwa Sasa la wasanii wa hip hop kumbwelambwela na kushindwa kusimama katika utamaduni wa hip hop..Mfano uimbaji wao na maudhui ya nyimbo.
Hivyo inanifanya kuukumbuka wimbo wake wa "Soko na pesa"

Baada ya kukaa kimya kwa kipindi flani Naweza kusema Shujaa inamuelezea yeye kwa namna moja kwani ni mtu asiyeyumbishwa katika ut amaduni wa hiphop na hawezi kuyumba kamwe.

2.katika upande wa pili hapa kazungumuzia masuala ya utawala/uongozi katika Taifa letu...hapa kidogo pana utata kumutambua Shujaa lakini pia inaweza kuwa kinyume cha shujaa katika upande huu.

"Ukisema milo mitatu utaulizwa Ndio kitu gani"

Nakupenda hip hop zaidi ya machizi wa Mtaa!
 
Karibu sana mkuu wangu wa kazi kaka Daby , nafurahi kuona wewe pia huwa upo kwenye comfort zone ya hipHop. Nice.

Mkuu, hiyo track nimeiattach hapo kwenye bandiko. Ipo hapo, cheki vizuri. Isikilize kama, nyimbo tamu sana toka kwa Maalim.

-Kaveli-
Nitacheki.

Nash, back alikuwepo SUA ila sidhani kama siku hizi yupo maana ninamiaka sijaenda huko ila kupitia video za online nimwoni... alikuwa ananogesha SUA saana
 
cc Mama kibunju, long time Enzi za Kwanza Unit..........KBC, Chief Ramso, D rob etc

Mkuu, karibu. Daaah kuna mdada mmoja hivi humu ni mpenzi sana wa hipHop. ID yake imenitoka kidogo, ila avatar yake ni sura ya mwanamke amevaa hijab dizaini fulani hivi.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom