Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli chama hili awamu hii hatuna kocha..''...wachezaji hoi, yani chama langu awamu hii hatuna kocha,
Benchi lake la ufundi kila mmoja analopoka,
Nani wa kuyasema na wenzio wanaogopa kambini weshatoroka... ''
hahahaa Emcee Nash a.k.a Zuzu
-Kaveli-
Kwakweli chama hili awamu hii hatuna kocha..
Kwani hamuoni benchi lake la ufundi wanavyoropoka na wengine kambini washatoroka?
Hatuna kocha!
Ungejibu tu bro kwa busara maana sisi mashabiki wenyewe.Hilo ni neno tata.Na kuuliza hivyo haimaanishi kuwa mimi nipo kinyume cuz namjua na kumuelewa Nash kabla ya WaPi na Batu Records alipokuwa akigongewa midundo na Ray Technohama na kabla Technohama hajapewa jina na Chief Ramso.Hii ni hipHop, tafsiri unavyoweza. Na ukizidi kuona nyota nyota, kasikilize singeli.
BTW... ushawahi kupanua ubongo wako kuhusu kitu kinaitwa 'Phonology' ?
-Kaveli-
Ungejibu tu bro kwa busara maana sisi mashabiki wenyewe.Hilo ni neno tata.Na kuuliza hivyo haimaanishi kuwa mimi nipo kinyume cuz namjua na kumuelewa Nash kabla ya WaPi na Batu Records alipokuwa akigongewa midundo na Ray Technohama na kabla Technohama hajapewa jina na Chief Ramso.
Yeap!Mfano jinsi neno 'atokeee' likitamkwa.Nilipita kushoto kwa makusudi ili nipate knowledge.Vizuri if you are a real hip hop fan. That's a primary commonality between me & you. Chill. Nini chief Ramso, mie nimeanza kufuatilia hipHop tangu enzi za Chief Rhymeson.
BUT, hicho ulichoeleza ndiyo jibu la swali langu nilokuuliza?
Narudia swali... unafahamu chochote kuhusu PHONOLOGY?
-Kaveli-
Mazee nitatia neno muda mwingine... Kaveli hiyo track iweke humu ili tuipakue kiurahisi
I love hiphop.
Nitacheki.Karibu sana mkuu wangu wa kazi kaka Daby , nafurahi kuona wewe pia huwa upo kwenye comfort zone ya hipHop. Nice.
Mkuu, hiyo track nimeiattach hapo kwenye bandiko. Ipo hapo, cheki vizuri. Isikilize kama, nyimbo tamu sana toka kwa Maalim.
-Kaveli-
Pamoja.Okay, well if umekaa kwenye msitari. Spread the knowledge. cheers...
-Kaveli-