Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali yakiwaki.Atokeee au atoke?
Kwa mistar hii nouma''...wachezaji hoi, yani chama langu awamu hii hatuna kocha,
Benchi lake la ufundi kila mmoja analopoka,
Nani wa kuyasema na wenzio wanaogopa kambini weshatoroka... ''
hahahaa Emcee Nash a.k.a Zuzu
-Kaveli-
Wengne wanasema tabia nimeimba matusNakubali sana ngoma ya kuitwa TABIA big up ZUZU
Ahsante sana halafu MAALIM Nash nampenda sana, maana ana A.K.A ya baba angu mzazi ezi za ujana wake nae alikua akiiitwa MAAAALIM.
Unataka aimbe singeliKiukweli huyu bwana asipobadilika atakuwa underground siku zote pole Nash