Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

Namwona lowassa


Wengine wanamuona Zitto. Kuna wengine wanamuona Magufuli. Pia wengine wanamuona Makonda.

Huu wimbo unachanganya wengi. Uchebe karusha jiwe gizani.

-Kaveli-
 
''...wachezaji hoi, yani chama langu awamu hii hatuna kocha,
Benchi lake la ufundi kila mmoja analopoka,
Nani wa kuyasema na wenzio wanaogopa kambini weshatoroka... ''

hahahaa Emcee Nash a.k.a Zuzu

-Kaveli-
Kwa mistar hii nouma
 
Ahsante sana halafu MAALIM Nash nampenda sana, maana ana A.K.A ya baba angu mzazi ezi za ujana wake nae alikua akiiitwa MAAAALIM.


Warmly my dada. Pouwa mkuu, endelea kuenjoy ladha kutoka kwa Maalim Nash.

-Kaveli-
 
Kiukweli huyu bwana asipobadilika atakuwa underground siku zote pole Nash
 
Kiukweli huyu bwana asipobadilika atakuwa underground siku zote pole Nash

Maalim naye anakupa pole wewe unayesubiri abadilike kimziki. Mrengo wa kushoto ndiyo itikadi yake daima.

Live long Zuzu a.k.a Uchebe chaka.

-Kaveli-
 
Vp Maalim atatoa Diwani II au anakubaliana na huu mwendo wa sasa a.k.a marejeo?
 
Back
Top Bottom