Sina bundle la mchezo mimi, na nimeshavuka umri huo.Nash Mc mmoja wa Underground Mc wa Bongo. Mcheki Youtube anapatikana zaidi huko pia.
remy ongala.Ndio nani huyu?
Nash Mc dodoki la maana, mpaka masharobaro wanalia ooh mamaNdio nani huyu?
ZimaaaaMaalim Nash MC
MC mwenye VVU
Vina vikali usipime
Kwa hiyo US wanaenda wasanii tu?Wabongo kama kawaida yenu na Ujuaji. Kwa hiyo huko US kaenda kama nani? Hivi hii Roho mbaya na Wivu ni Laana?
sasa umefuata nini au unataka upakatwe.Sina bundle la mchezo mimi, na nimeshavuka umri huo.