Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

Kama. Kawaida yake ni mmoja wa ma MC wakali sana wanaosimamia misingi ya kweli ya HipHop, hivi sasa yupo nchini Marekani kama kawaida yake na safari za Ughaibuni.

Hiyo video akiwa University of North Carolina.. School of Music akishiriki "Cypher" kwa Mistari ya Kiswahili na wanafunzi wanaosomea Muziki wa HipHop.
View attachment 2270164
Ebaanaaaa daaaah iiii kalii sanaaaa Nash mkalii sanaaa
 
Read the brain, not the outfit.

Dedication to you: "Maneno" by Nash Emcee.

-Kaveli-
Anavaa hovyo, hiyo brain yenyewe ya kawaida, big brain hawezi kuwa mhafidhina katika chochote

Nash ni mdini na mhiphop haswa, ndio sababu hajipendi kwa kusingizio cha ugumu
 
Tatizo mfia dini tu na hajifichi....ni msanii ambae nimeruhusu nyimbo zake kwenye simu yangu.
 
Hivi kuachia uchebe ni udini?
Maana sionagi akiquote kitabu cha dini kwenye nyimbo zake.
 
Oya Nash sio Underground, rekebisha hapo

Sent from simu ya kuazima
Unaelewa nini kuhusu underground HipHop? He is not on Mainstream Sphere. Unavyoielewa Underground kwenye Bongo Flavour ni tofauti na inavyoeleweka kwenye HipHop
 
Mgeni huyo kwenye rap
Underground hip-hop (also commonly known as indie hip-hop or underground rap) is an umbrella term for hip hop music that is outside the general commercial canon. It is typically associated with independent artists, signed to independent labels or no label at all. Underground hip hop is often characterized by socially conscious, positive, or anti-commercial lyrics.

Next time msikurupuke kucomment vitu msivyovijua.
Mimi ni mdau wa Hip Hop tangu enzi za kina "Cool Moe Dee" way back yaani sidhani kama ulikuwa umezaliwa, so ninapoandika kitu naelewa naandika nini.
 
Anavaa hovyo, hiyo brain yenyewe ya kawaida, big brain hawezi kuwa mhafidhina katika chochote

Nash ni mdini na mhiphop haswa, ndio sababu hajipendi kwa kusingizio cha ugumu
Kujipenda ni kuvaa suruari za kubana Miguu kama Mwanamke? Na kuvaa Milegezo? Nyinyi generation ya kina Dogo Janja mnasumbua sana.
Mwenzio kila siku anakwea Pipa Mara Germany Mara US.. Wewe hata Bombadier ya ATCL unaiona angani tu ikipita 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom