Ntopo Kilebente
Senior Member
- Apr 3, 2021
- 191
- 248
Mwanamuziki wangu bora kabisaa wa wakati wote
Wachache ndio wanamuelewwa huyu jamaa, hip hop inahitaji kufikiria au unapana wa mawazo ili uelewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamuziki wangu bora kabisaa wa wakati wote
Hapana bhna mi shabiki yake kindaki ndaki iLa kwa sasa nash mc namuona snich tu hahahahahahaha kwann aniblockHana utafiki na mabishoo.
Ebaanaaaa daaaah iiii kalii sanaaaa Nash mkalii sanaaaKama. Kawaida yake ni mmoja wa ma MC wakali sana wanaosimamia misingi ya kweli ya HipHop, hivi sasa yupo nchini Marekani kama kawaida yake na safari za Ughaibuni.
Hiyo video akiwa University of North Carolina.. School of Music akishiriki "Cypher" kwa Mistari ya Kiswahili na wanafunzi wanaosomea Muziki wa HipHop.
View attachment 2270164
Anavaa hovyo, hiyo brain yenyewe ya kawaida, big brain hawezi kuwa mhafidhina katika chochoteRead the brain, not the outfit.
Dedication to you: "Maneno" by Nash Emcee.
-Kaveli-
Mgeni huyo kwenye rapNimeshangaa eti anamuita underground.
Oya Nash sio Underground, rekebisha hapoNash Mc mmoja wa Underground Mc wa Bongo. Mcheki Youtube anapatikana zaidi huko pia.
Underground hip-hop (also commonly known as indie hip-hop or underground rap) is an umbrella term for hip hop music that is outside the general commercial canon. It is typically associated with independent artists, signed to independent labels or no label at all. Underground hip hop is often characterized by socially conscious, positive, or anti-commercial lyrics.Oya Nash sio Underground, rekebisha hapo
Sent from simu ya kuazima
Underground hip-hop (also commonly known as indie hip-hop or underground rap) is an umbrella term for hip hop music that is outside the general commercial canon. It is typically associated with independent artists, signed to independent labels or no label at all. Underground hip hop is often characterized by socially conscious, positive, or anti-commercial lyrics.Mkuu jiheshimu basi....
Nash Sio underground....
Kizazi cha young lunya hamuwezi elewa underground mc ni naniOya Nash sio Underground, rekebisha hapo
Sent from simu ya kuazima
Underground hip-hop (also commonly known as indie hip-hop or underground rap) is an umbrella term for hip hop music that is outside the general commercial canon. It is typically associated with independent artists, signed to independent labels or no label at all. Underground hip hop is often characterized by socially conscious, positive, or anti-commercial lyrics.Mgeni huyo kwenye rap
Kujipenda ni kuvaa suruari za kubana Miguu kama Mwanamke? Na kuvaa Milegezo? Nyinyi generation ya kina Dogo Janja mnasumbua sana.Anavaa hovyo, hiyo brain yenyewe ya kawaida, big brain hawezi kuwa mhafidhina katika chochote
Nash ni mdini na mhiphop haswa, ndio sababu hajipendi kwa kusingizio cha ugumu