Huyu jamaa namkubali maana anatumia kiswahili bila kuchanganya na kingereza.Huyu jamaa naweza sema ni mwanahip hop bora Tanzania ambaye hajawahi kubadilika,wako malegends kama Sugu au Jay ila huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake utagundua ni msomi,na pia anatumia kiswahili sanifu.
Album yake mpya kuna nyimbo kama maneno,barua toka Bangui,viwango vyake vya mashairi inaonekana mtu tafiti.
Nadiriki kusema ni msanii wa hip hop asiyebadilika na mwenye mashairi yanayofundisha
Nadhani ni huyohuyoNilifikir Nash wa fema
Yule ni ke shombe shombe fulani hivi..Nadhani ni huyohuyo
Flow kama za mbishi!?lyrically yupo vizuri, ila tatizo ni moja tu, nyimbo zake hazina ladha, hana flow nzuri.
yes sir, au kama za king zilla ( R.I.P) ππππππππFlow kama za mbishi!?