martial arts
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 191
- 100
Nash mc chata ni mojawapo ya emcees ninaowakubali hapa bongo.Tamaduni kuna vichwa hatari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wasiokijua mkuu...na ni mahodari wa kukitumiahajui kingereza tatizo
Kama nyimbo za king music hazi trend pamoja na promo yote wanayopewa na XXL ya Cloud fm, unategemea huyo jamaa ata trend ?Mbona hajulikani?? Ni wa wapi?? Wimbo wake Unatrend...Una views ngapi?
Amesoma veta chang'ombe.
mihadarati inampatia misimamoMaalim anajua sana sema imani ya sultan kuna mida anashindwa kuificha anaingiza misimamo hiyo kiaina ila kwa upande mwingine anatoa elimu frshh sana
Umenena bro [emoji122]Naona anasifiwa sana kwa matumizi ya kiswahili lakini jina lake tu Nash Mc kuna neno la kingereza hapo,je hakuna kiswahili cha Emcee? Ili kithibitisha kwa vitendo hicho anachokihubiri kwa kuanza na jina lake!
Imani ya Sultan ndio imani ganiMaalim anajua sana sema imani ya sultan kuna mida anashindwa kuificha anaingiza misimamo hiyo kiaina ila kwa upande mwingine anatoa elimu frshh sana
Nyie mliyozoea kusikia miziki ya tetema sjui ngwlungwalu hamuwezi mjuaaaMbona hajulikani?? Ni wa wapi?? Wimbo wake Unatrend...Una views ngapi?
Matamasha yenu midume wanavaa Shanga na vikuku mguuni Je?Nash hana lolote bila bange hata kiswahili hawezi kuongea
Namskiaga sana kwenye mjadala kuhusu lugha ya kiswahili ana shusha nondo zakeNash Mc ni mtu pekee ninaemfahamu, anaeweza kuongea kiswahili fasaha lisaa lizima, bila kutumia neno lolote la kiingereza.
Hapo ndipo utasikia maneno kama Santuri, kanda mseto na mengineyo!
Nash ni Nas wa Tanzania!
Hayo maarifa basi ni zaidi ya elimu ya darasani
Nash ana kwenda mpaka UJerumani kufanya show. ....Mbona hajulikani?? Ni wa wapi?? Wimbo wake Unatrend...Una views ngapi?
Nash hana lolote bila bange hata kiswahili hawezi kuongea