Nash MC ana elimu gani?

Nash MC ana elimu gani?

Hahaha hahaaaaaaaaaaa. .kwamba huyo ni Mfuasi wa ile bendera yenye rangi za rainbow?
Nilivyosoma tu jina lako, nikajua priorities zako. Mna haki zenu, so I won't go hard on you!
 
Huyu jamaa naweza sema ni mwanahip hop bora Tanzania ambaye hajawahi kubadilika,wako malegends kama Sugu au Jay ila huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake utagundua ni msomi,na pia anatumia kiswahili sanifu.

Album yake mpya kuna nyimbo kama maneno,barua toka Bangui,viwango vyake vya mashairi inaonekana mtu tafiti.

Nadiriki kusema ni msanii wa hip hop asiyebadilika na mwenye mashairi yanayofundisha
Mshkaji nilikuwa namkubali tungo zake ila nimegundua ni kama ana stress afu hajielewi baada ya kuona hii thread ikabidi nitembelee na kurasa yake nikamfollo nikaona anapromoti albamu yake lakini nikaona show zake kama wanaume ni wengi ikabidi nimshauri aweke jitihada ya kuongeza mashabiki wa kike kwa kuinvest kufanya video kubwa lakin nimegundua jamaa hataki ushauri nikaishia kula block mwisho wa siku nimemshusha vyeo nyimbo zake nimezifuta nilikuwa nazo baadhi jamaa hajielewi wala sina hakika kama anajua anapotaka kwenda kiufupi tu mshakaji kakosa respect ata nyimbo yake ya zima nimegundua sasa yeye ndio mwenye matatizo
 
"Maneno" by Nash Emcee.

Ulitoa ushauri wa kiduwanzi. Unastahili block!!

Eti jitihada za kuongeza fan base ya mademu kwa 'kufanya video kubwa'.... hahahaaa.

Kibongo bongo, hip hop na mashabiki wa kike wapi na wapi?!!! mkuu wewe endelea tu kuwatch video za kina Diamond and the like. Hip Hop waachie wenyewe.

-Kaveli-
 
Upo sahihi Mkuu jamaa ni mgumu sana kupokea ushauri hata unapomkosoa kwa nia nzuri tu jamaa anachukulia tofauti sana!
 
"Maneno" by Nash Emcee.

Ulitoa ushauri wa kiduwanzi. Unastahili block!!

Eti jitihada za kuongeza fan base ya mademu kwa 'kufanya video kubwa'.... hahahaaa.

Kibongo bongo, hip hop na mashabiki wa kike wapi na wapi?!!! mkuu wewe endelea tu kuwatch video za kina Diamond and the like. Hip Hop waachie wenyewe.

-Kaveli-
jamaa hana respect kwa mashabiki na bora sijanunua hiyo albam mana nilikuw kwenye mipango yakufanya hivyo nahisi angekuwa ameniuzi zaidi ninunue albam bado jamaa aniblock ni kama kanikosea hakukuwa na sababu ta kuniblock sababu sijamtukana nimempa ushauri tu ambao sio lazim kuufanyia kazi nilikuwa naona ni mtu makini lakini nimegudua jamaa anastress au chuki kwa wasanii wanaopiga hatua kimafanikio
 
Nachojua alisoma shule ya msingi madenge pale tmk
 
Ule wimbo wa Tabia haufai kusikiliza na mzazi
 
Nash ana kwenda mpaka UJerumani kufanya show. ....

Nash ni Mc --Ambaye Yuko against na clouds kwa sababu clouds walimtaka a -switch flow aka kataa. ..... so that's why hasikiki. ..... ila ngoma zake ni kali sana tu ....ana album yake 1 hivi inaitwa mzimu wa shaban Robert. .itafute uisikilize
Hpo anatoa speech kwenye chuo fulani ujerumani.....
Wabana pua hawawezi harakati hzo

Ova
images.jpeg.jpg
 
Mshkaji nilikuwa namkubali tungo zake ila nimegundua ni kama ana stress afu hajielewi baada ya kuona hii thread ikabidi nitembelee na kurasa yake nikamfollo nikaona anapromoti albamu yake lakini nikaona show zake kama wanaume ni wengi ikabidi nimshauri aweke jitihada ya kuongeza mashabiki wa kike kwa kuinvest kufanya video kubwa lakin nimegundua jamaa hataki ushauri nikaishia kula block mwisho wa siku nimemshusha vyeo nyimbo zake nimezifuta nilikuwa nazo baadhi jamaa hajielewi wala sina hakika kama anajua anapotaka kwenda kiufupi tu mshakaji kakosa respect ata nyimbo yake ya zima nimegundua sasa yeye ndio mwenye matatizo
Shw hzo unazotaka ww zinajaa mashogaa tu
Na midume kuvaa vitukuu mguuni

Ova
 
jamaa hana respect kwa mashabiki na bora sijanunua hiyo albam mana nilikuw kwenye mipango yakufanya hivyo nahisi angekuwa ameniuzi zaidi ninunue albam bado jamaa aniblock ni kama kanikosea hakukuwa na sababu ta kuniblock sababu sijamtukana nimempa ushauri tu ambao sio lazim kuufanyia kazi nilikuwa naona ni mtu makini lakini nimegudua jamaa anastress au chuki kwa wasanii wanaopiga hatua kimafanikio
We endelea kuwa support wanahamasisha ushog tu

Ova
 
Hii itakuwa album yangu ya pili kuinunua ya Diwani ya maalim baada ya Misuli ya imani ya Ambwene.
Jamaa anajua sn sn
 
We endelea kuwa support wanahamasisha ushog tu

Ova
endeleeni kumpa kichwa wakati mwenzenu anaangamia ni nini anachohamasisha jamii ikiwa yeye mwenyew hataki kutoka kwenye wimbi la umasikini alikuwa nao kakosa plan b ndio mana amebakia kuwa mtu wa wakulalamika tu na kutukana media mbona wenzie wakina niki mbishi wametulia na wana respect msimpe kichwa kiivyo mshaurini abadilike anajifanya ni mjuaji mno kitu ambacho anaharibu
 
Back
Top Bottom