Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hua haweki utube nyimbo zakeMbona hajulikani?? Ni wa wapi?? Wimbo wake Unatrend...Una views ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hua haweki utube nyimbo zakeMbona hajulikani?? Ni wa wapi?? Wimbo wake Unatrend...Una views ngapi?
Kanunue albùm usikilize nyimbö zakėWekeni nyimbo zake hapa!
Wewe ndo humjui, Nash anaalikwa maŕa nyingi Germañy kwenye matamashaMbona hajulikani?? Ni wa wapi?? Wimbo wake Unatrend...Una views ngapi?
Najua O level alisoma Benjamin Mkapa early 2000s' ,sijui baada ya hapo Kama aliendelea na masomoHuyu jamaa naweza sema ni mwanahip hop bora Tanzania ambaye hajawahi kubadilika,wako malegends kama Sugu au Jay ila huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake utagundua ni msomi,na pia anatumia kiswahili sanifu.
Album yake mpya kuna nyimbo kama maneno,barua toka Bangui,viwango vyake vya mashairi inaonekana mtu tafiti.
Nadiriki kusema ni msanii wa hip hop asiyebadilika na mwenye mashairi yanayofundisha
ELIMU YA KUVUTABANGI HUKO TEMEKEHuyu jamaa naweza sema ni mwanahip hop bora Tanzania ambaye hajawahi kubadilika,wako malegends kama Sugu au Jay ila huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake utagundua ni msomi,na pia anatumia kiswahili sanifu.
Album yake mpya kuna nyimbo kama maneno,barua toka Bangui,viwango vyake vya mashairi inaonekana mtu tafiti.
Nadiriki kusema ni msanii wa hip hop asiyebadilika na mwenye mashairi yanayofundisha
hajui kingereza tatizoHuyu jamaa namkubali maana anatumia kiswahili bila kuchanganya na kingereza.
haumjui sio hajulikaniMbona hajulikani?? Ni wa wapi?? Wimbo wake Unatrend...Una views ngapi?
Yupo vizuri,nyimbo zake ni zakimapinduzi sanaHuyu jamaa naweza sema ni mwanahip hop bora Tanzania ambaye hajawahi kubadilika,wako malegends kama Sugu au Jay ila huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake utagundua ni msomi,na pia anatumia kiswahili sanifu.
Album yake mpya kuna nyimbo kama maneno,barua toka Bangui,viwango vyake vya mashairi inaonekana mtu tafiti.
Nadiriki kusema ni msanii wa hip hop asiyebadilika na mwenye mashairi yanayofundisha
matamasha ya wavuta BANGIWewe ndo humjui, Nash anaalikwa maŕa nyingi Germañy kwenye matamasha
Huwezi mjua maana unasikiliza sana nyimbo kama tetema,Kibonge,Nyegezi........nyimbo za Mwalimu Mashaka huziweziMbona hajulikani?? Ni wa wapi?? Wimbo wake Unatrend...Una views ngapi?
Nash hana lolote bila bange hata kiswahili hawezi kuongeaVuta bangi na wewe kama inasaidia,una wivu sana
Kutokujua kingereza sio tatizo.hajui kingereza tatizo
nas wa bangi mbichiNash Mc ni mtu pekee ninaemfahamu, anaeweza kuongea kiswahili fasaha lisaa lizima, bila kutumia neno lolote la kiingereza.
Hapo ndipo utasikia maneno kama Santuri, kanda mseto na mengineyo!
Nash ni Nas wa Tanzania!
Nilivyosoma tu jina lako, nikajua priorities zako. Mna haki zenu, so I won't go hard on you!nas wa bangi mbichi