Nash MC ana elimu gani?

Nash MC ana elimu gani?

Kula nyama gonga bia gonga bia kesho ni ugali bamia
 
Huyu jamaa naweza sema ni mwanahip hop bora Tanzania ambaye hajawahi kubadilika,wako malegends kama Sugu au Jay ila huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake utagundua ni msomi,na pia anatumia kiswahili sanifu.

Album yake mpya kuna nyimbo kama maneno,barua toka Bangui,viwango vyake vya mashairi inaonekana mtu tafiti.

Nadiriki kusema ni msanii wa hip hop asiyebadilika na mwenye mashairi yanayofundisha
Najua O level alisoma Benjamin Mkapa early 2000s' ,sijui baada ya hapo Kama aliendelea na masomo
 
Huyu jamaa naweza sema ni mwanahip hop bora Tanzania ambaye hajawahi kubadilika,wako malegends kama Sugu au Jay ila huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake utagundua ni msomi,na pia anatumia kiswahili sanifu.

Album yake mpya kuna nyimbo kama maneno,barua toka Bangui,viwango vyake vya mashairi inaonekana mtu tafiti.

Nadiriki kusema ni msanii wa hip hop asiyebadilika na mwenye mashairi yanayofundisha
ELIMU YA KUVUTABANGI HUKO TEMEKE
 
Yupo vizuri,nyimbo zake ni zakimapinduzi sana
 
Nash Mc ni mtu pekee ninaemfahamu, anaeweza kuongea kiswahili fasaha lisaa lizima, bila kutumia neno lolote la kiingereza.

Hapo ndipo utasikia maneno kama Santuri, kanda mseto na mengineyo!

Nash ni Nas wa Tanzania!
 
nas wa bangi mbichi
 
Back
Top Bottom