Nash MC ana elimu gani?

Nash MC ana elimu gani?

Nash mc chata ni mojawapo ya emcees ninaowakubali hapa bongo.Tamaduni kuna vichwa hatari!
 
Maalim anajua sana sema imani ya sultan kuna mida anashindwa kuificha anaingiza misimamo hiyo kiaina ila kwa upande mwingine anatoa elimu frshh sana
 
Maalim anajua sana sema imani ya sultan kuna mida anashindwa kuificha anaingiza misimamo hiyo kiaina ila kwa upande mwingine anatoa elimu frshh sana
mihadarati inampatia misimamo
 
Naona anasifiwa sana kwa matumizi ya kiswahili lakini jina lake tu Nash Mc kuna neno la kingereza hapo,je hakuna kiswahili cha Emcee? Ili kithibitisha kwa vitendo hicho anachokihubiri kwa kuanza na jina lake!
 
Mbona hajulikani?? Ni wa wapi?? Wimbo wake Unatrend...Una views ngapi?
Nash ana kwenda mpaka UJerumani kufanya show. ....

Nash ni Mc --Ambaye Yuko against na clouds kwa sababu clouds walimtaka a -switch flow aka kataa. ..... so that's why hasikiki. ..... ila ngoma zake ni kali sana tu ....ana album yake 1 hivi inaitwa mzimu wa shaban Robert. .itafute uisikilize
 
Back
Top Bottom