Nash MC ana elimu gani?

Nash MC ana elimu gani?

Ananiudhi sana uvaaji wake, anavaa kifalafala tu, tunaijua hiphop, hiphop haihusiani na uchafu hiyo ni tabia binafsi
Tazama tangu enzi za NWA, kina Ice Cube, Eminem, Dre, Pac, Big, Nas nk hakuna mchafu mchafu
Walisuka nywele, waliweka vipini nk ili wapendeze, miaka ya nyuma sana kweli walivaa hovyo lakini sio kwamba ndio hiphop ni kwa sababu za kiuchumi, tazama baada ya kushika hela wote wanashine na wanafanya hiphop, ingekuwa kushine kunahusiana na muziki wao wangebadili aina ya muziki pia.
Sasa wasanii wetu wa hiphop wanafikiri kuna uhusiano kati ya hiphop na uchafu, angalau kuna baadhi wanajitambua wanapendeza siku hizi kama tamaduni, weusi, kina Darasa nk

Mtu asiniambie Nash hashine sababu hana hela ni uongo, uwezo wa kuvaa anao sema anachanganya sana hiphop na imani yake

Anavaa hovyo hovyo sana sio sio msanii wa mfano, ni mfano mbaya kwa hiphop na asichojua anafikiri anakuza hiphop kumbe anaiua, ili aina ya muziki ikue ni ipate waimbaji wengi, sasa hakuna aliye nje ya muziki atatamani kuingia kwenye hiphop kwa kumtazama Nash

Kijana akimtazama Nash anaiona dhiki kuu ndani ya hiphop, anaamua kubana pua tu maana huko vijana wanajaribu sana kuficha njaa hata kama hawana kitu
Hip Hop ni uhalisia sio kujipamba kwa vya kuazima
 
kwa hiyo unasema nash hana swaga?
 
Naona anasifiwa sana kwa matumizi ya kiswahili lakini jina lake tu Nash Mc kuna neno la kingereza hapo,je hakuna kiswahili cha Emcee? Ili kithibitisha kwa vitendo hicho anachokihubiri kwa kuanza na jina lake!
MC ni kiswahili. Msema Chochote.
 
"Maneno" by Nash Emcee.

Ulitoa ushauri wa kiduwanzi. Unastahili block!!

Eti jitihada za kuongeza fan base ya mademu kwa 'kufanya video kubwa'.... hahahaaa.

Kibongo bongo, hip hop na mashabiki wa kike wapi na wapi?!!! mkuu wewe endelea tu kuwatch video za kina Diamond and the like. Hip Hop waachie wenyewe.

-Kaveli-

Asuke na nywele. Avae na suti pinki. Mahereni Makubwa. Ili apendwe na wanawake.
 
Usomi au kutokusoma hauendani sio kigezo cha mtu kuandika mashairi mazuei au mabaya ni kipaji tu

Hiv ulishawah kuchunguza elimu na uwezo wa kuandika mashairi alio nao Jay -z?
 
Naona anasifiwa sana kwa matumizi ya kiswahili lakini jina lake tu Nash Mc kuna neno la kingereza hapo,je hakuna kiswahili cha Emcee? Ili kithibitisha kwa vitendo hicho anachokihubiri kwa kuanza na jina lake!
Mc means mchenguaji na sio emcee's
 
Mnaodai picha...View attachment 1718809View attachment 1718810
Screenshot_20210306-213733_Instagram.jpg
 
Wewe ndo humjui, Nash anaalikwa maŕa nyingi Germañy kwenye matamasha
Ni msanii mswahili asilia...anayekwenda na miondoko ya hiphop, anajielewa na anaelewa anachokifanya. Ni balozi mzuri wa kiswahili
 
wasanii wanaojielewa Diamond, Kiba, Vanny, Zuchu, Nandy, Jux nk nk sio huyo.
 
Back
Top Bottom