Nash MC ana elimu gani?

Nash MC ana elimu gani?

Wanahiphop wa bongo wanajifanya wanaijua hiphop kuliko kina Jay Z

Ubaya wa mwafrika akiletewa kitu anajifanya kukifahamu kuliko mletaji

Hata hizi dini, waliozileta walishaanza kuzipuuza lakini mswahili humwambii kitu na ndio wa kwanza kuwatuhumu wazungu ni wapinga kristo

Mzaramo eti anamjua kristo kuliko mzungu
 
Wakati nasoma Kibasila nilikua naenda kula chakula kwa mama ntilie maarufu kwa jina Mama Bwege nimemuona sana kwenye hilo eneo kwa ajili ya msosi.

Kwa stori zake anazopiga sioni kama ana elimu kubwa sana.
 
mwaka gani?
 
Wanahiphop wa bongo wanajifanya wanaijua hiphop kuliko kina Jay Z

Ubaya wa mwafrika akiletewa kitu anajifanya kukifahamu kuliko mletaji

Hata hizi dini, waliozileta walishaanza kuzipuuza lakini mswahili humwambii kitu na ndio wa kwanza kuwatuhumu wazungu ni wapinga kristo

Mzaramo eti anamjua kristo kuliko mzungu
vipi kuhusu mohammad
 
Nash MC namfahamu vizuri mkuu, ana degree ya chuo kikuu Cha SUA-- Morogoro
Nimesikitika na nimeshangaa Sana wadau wengi walisema et Hana elimu yoyote
Kamaliza degree yake SUA around 2005_2009
Basi nimekosea sana kumjudge.
 
Wote ni wale wale, mnyakyusa nae anaanza kuvaa pedo, vilemba na makubazi wanaita sunna ya bwana Muddy

Wakati yale mavazi wenzao wanavaa kutokana na mazingira ya jangwa na joto
au hii ya kuzika bila jeneza wanasema kule jangwani hamna miti
 
Nash anatema English safi tu kwa level yake. Msikilize hapa alipokuwa Berlin Germany mwishoni mwa mwaka 2018:

-Kaveli-
Dah jamaa nilikuwa simfuatiliagi ila baada ya kumsikiliza maelezo yake nimetokea kumkubali ghafla.
Nimegundua pia ni mtu fulani mwenye imani sana.
 
Back
Top Bottom