Nash MC anafuata tamaduni za hip hop

Nash MC anafuata tamaduni za hip hop

Kama hana pesa huo muzik haumsaidii kama vp akae kimya tu
 
Watu hawataki ukweli siku hizi. Wanapenda vitu vya muda tuu. Ndo maana watu tumepoteza hata asili yetu. Kuanzia lugha, nguo, na hata rangi ya ngozi yetu.
Hii kitu imehamia kwenye muziki watu wanataka ifanya hip hop ionekane kama muziki wa kawaida tuu kama singeli zao wanazoimba. Hawajui HIP HOP si muziki HIP HOP ni utamaduni na uhalisia wa maisha yetu ya kila siku tunayoishi.
Ukiwa na pumzi usichoke kuusema ukweli na hakika utakuwa huru buddy
huyu jamaaa naweza kusema ajielewi katunga iyo nyimbo inaitwa zima anatukana watangazaji na media zote sasa utajiuliza inakuwa vipi ikiwa wasanii wakongwe wakina prof j miaka zaidi ya kumi hawajawahi kufanya ushamba alioufanya huyu kijana wenzao huko usa wanafanya mziki kama huu lakini kwao maisha kwao safi sasa wabongo umepanga geto uswaz huku unaenda kufanya nyimbo ambazo hazina mashiko ktk jamii wanaita mistar konde kujifia tu mimi mkali
natoa ushauri kwa vijana wenzangu kama hawa rudini maisha ya mtaani tugangamae wote kuna fursa nyingi iyo mil 1unayotolea video kwa kuponda wenzio wenye mafanikio kwanini usidudulize kwa mambo ya msingi izae zaidi
 
Tu-develop hizi nguzo tuongeze nguzo moja ya "kupata faida kiuchumi kupitia hiphop"
Naamini hiyo nguzo itakua na faida kubwa kwenye jamii.
 
We ndo mburura kabisa...nani kakwambia target ya kwnz ya mc ni kupata hela?? Unapaswa kujifunza maana ya hip hop ai kama vipi endelea kushabikia taarabu
Sasa matusi ya nini mwanaHIPHOP?
Mbona nimeuliza kistaarabu tu?
 
huyu jamaaa naweza kusema ajielewi katunga iyo nyimbo inaitwa zima anatukana watangazaji na media zote sasa utajiuliza inakuwa vipi ikiwa wasanii wakongwe wakina prof j miaka zaidi ya kumi hawajawahi kufanya ushamba alioufanya huyu kijana wenzao huko usa wanafanya mziki kama huu lakini kwao maisha kwao safi sasa wabongo umepanga geto uswaz huku unaenda kufanya nyimbo ambazo hazina mashiko ktk jamii wanaita mistar konde kujifia tu mimi mkali
natoa ushauri kwa vijana wenzangu kama hawa rudini maisha ya mtaani tugangamae wote kuna fursa nyingi iyo mil 1unayotolea video kwa kuponda wenzio wenye mafanikio kwanini usidudulize kwa mambo ya msingi izae zaidi
Hakuna dawa tamu mkuu dawa siku zote lazima iwe chungu. ZIMA ni dawa kwa wacky emcs pamoja na media uchwara zao
Alafu pia sizani kama prof j bado ni mwana hip hop nazan anafanya muziki anaoujua yeye kama ule wa weusi alafu wanasingizia ni hip hop. Hii haiwezi kuwa hip hop mkuu. Ukweli siku zote hupingwa na wengi
 
Back
Top Bottom