Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu jamaaa naweza kusema ajielewi katunga iyo nyimbo inaitwa zima anatukana watangazaji na media zote sasa utajiuliza inakuwa vipi ikiwa wasanii wakongwe wakina prof j miaka zaidi ya kumi hawajawahi kufanya ushamba alioufanya huyu kijana wenzao huko usa wanafanya mziki kama huu lakini kwao maisha kwao safi sasa wabongo umepanga geto uswaz huku unaenda kufanya nyimbo ambazo hazina mashiko ktk jamii wanaita mistar konde kujifia tu mimi mkaliWatu hawataki ukweli siku hizi. Wanapenda vitu vya muda tuu. Ndo maana watu tumepoteza hata asili yetu. Kuanzia lugha, nguo, na hata rangi ya ngozi yetu.
Hii kitu imehamia kwenye muziki watu wanataka ifanya hip hop ionekane kama muziki wa kawaida tuu kama singeli zao wanazoimba. Hawajui HIP HOP si muziki HIP HOP ni utamaduni na uhalisia wa maisha yetu ya kila siku tunayoishi.
Ukiwa na pumzi usichoke kuusema ukweli na hakika utakuwa huru buddy
Sasa matusi ya nini mwanaHIPHOP?We ndo mburura kabisa...nani kakwambia target ya kwnz ya mc ni kupata hela?? Unapaswa kujifunza maana ya hip hop ai kama vipi endelea kushabikia taarabu
Hakuna dawa tamu mkuu dawa siku zote lazima iwe chungu. ZIMA ni dawa kwa wacky emcs pamoja na media uchwara zaohuyu jamaaa naweza kusema ajielewi katunga iyo nyimbo inaitwa zima anatukana watangazaji na media zote sasa utajiuliza inakuwa vipi ikiwa wasanii wakongwe wakina prof j miaka zaidi ya kumi hawajawahi kufanya ushamba alioufanya huyu kijana wenzao huko usa wanafanya mziki kama huu lakini kwao maisha kwao safi sasa wabongo umepanga geto uswaz huku unaenda kufanya nyimbo ambazo hazina mashiko ktk jamii wanaita mistar konde kujifia tu mimi mkali
natoa ushauri kwa vijana wenzangu kama hawa rudini maisha ya mtaani tugangamae wote kuna fursa nyingi iyo mil 1unayotolea video kwa kuponda wenzio wenye mafanikio kwanini usidudulize kwa mambo ya msingi izae zaidi
Samahani bro...let it go buddySasa matusi ya nini mwanaHIPHOP?
Mbona nimeuliza kistaarabu tu?