nash kichwani yuko!angebahatika kwenda kidato jamaa angekuwa mbali
Mkuu umeufukua huu uzi naona wa kitambo kweliWakali wote..
Nash, darasa pigine kazi.
Maisha ni kutisha na sikutishana.
Ya wa kitambo sana.Mkuu umeufukua huu uzi naona wa kitambo kweli
Aah! Sasa huu uzi naona ulikua kipindi kile kina darasa wana ngoma kama sikati tamaa ila sasa hv jamaa kaswich sanaYa wa kitambo sana.
Night kama mida hii huwa napata sana mizuka ya hip hop.
Soko na pesa kamanda wangu.Aah! Sasa huu uzi naona ulikua kipindi kile kina darasa wana ngoma kama sikati tamaa ila sasa hv jamaa kaswich sana
Mziki wa wadau huu wao ndio wanachangia sana wasanii kubadirika, ila kama ulivyosema maamuzi ya wenyeweSoko na pesa kamanda wangu.
Soko na pesa vinawatesa Nash kashaeleza vyema.
Pia ni maamuzi yake darasa,maisha anapanga mtu mwenyewe si vyema kupangiwa na mtu au kikundi cha watu.
Naheshimu maamuzi ya mtu.
Ndio-ndio.Mziki wa wadau huu wao ndio wanachangia sana wasanii kubadirika, ila kama ulivyosema maamuzi ya wenyewe
,sema huwa ananikera kwa kujifanya anajua kilakitu na kutopenda kukosolewa.