Pumzi
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 321
- 55
Hawa jamaa wawili ni wasanii wa hip hop Tanzania...ukweli ni kwamba wanaweza wasiwe wasanii wa kali sana lakini ni wasanii wanaoimba zaidi kuhusu maisha ya mtaani,jinsi watanzania wanavyopata tabu,..pia nash Mc anatumia kiswahili fasaha sana katika tungo zake tafuteni kazi zao msikilize wanajitahidi sana