Nash Mc+Darasa

Nash Mc+Darasa

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
321
Reaction score
55
Hawa jamaa wawili ni wasanii wa hip hop Tanzania...ukweli ni kwamba wanaweza wasiwe wasanii wa kali sana lakini ni wasanii wanaoimba zaidi kuhusu maisha ya mtaani,jinsi watanzania wanavyopata tabu,..pia nash Mc anatumia kiswahili fasaha sana katika tungo zake tafuteni kazi zao msikilize wanajitahidi sana
 
Hawa wanajua sana hawa jamaa
 
nash kichwani yuko!angebahatika kwenda kidato jamaa angekuwa mbali
 
Ni kweli nash yuko poa sana hata mixtape yake inadhihirisha hilo
 
Unaposema angebahatika una maana gani? Mbona jamaa shule kapiga fresh 2
 
Darasa namwelewa zaidi, ni mkali kiukweli na hasa Track yake ninayoifahamu zaidi "Nishike mkono"
 
Wote hawa ni mafundi sana na wanajua sana
 
Wote wakali but Nash ni fundi zaidi hapo.Jamaa yuko vizuri,anastyle ya kipekee ya uandishi na mitambao yake iko unique tofauti na wasanii wengine wa Tamaduni ambao wengiwao wanaigana,sema huwa ananikera kwa kujifanya anajua kilakitu na kutopenda kukosolewa.
 
Wakali wote..

Nash, darasa pigine kazi.

Maisha ni kutisha na sikutishana.
 
Aah! Sasa huu uzi naona ulikua kipindi kile kina darasa wana ngoma kama sikati tamaa ila sasa hv jamaa kaswich sana
Soko na pesa kamanda wangu.

Soko na pesa vinawatesa Nash kashaeleza vyema.

Pia ni maamuzi yake darasa,maisha anapanga mtu mwenyewe si vyema kupangiwa na mtu au kikundi cha watu.

Naheshimu maamuzi ya mtu.
 
Soko na pesa kamanda wangu.

Soko na pesa vinawatesa Nash kashaeleza vyema.

Pia ni maamuzi yake darasa,maisha anapanga mtu mwenyewe si vyema kupangiwa na mtu au kikundi cha watu.

Naheshimu maamuzi ya mtu.
Mziki wa wadau huu wao ndio wanachangia sana wasanii kubadirika, ila kama ulivyosema maamuzi ya wenyewe
 
Mziki wa wadau huu wao ndio wanachangia sana wasanii kubadirika, ila kama ulivyosema maamuzi ya wenyewe
Ndio-ndio.

Kama unaona unakwenda njia ambayo si sahihi kwa mtazamo wako basi Sisi hatuna neno.

Wadau pia watoe sapoti kwa namna yoyote.

Hip hop chakula cha ubongo.
 
,sema huwa ananikera kwa kujifanya anajua kilakitu na kutopenda kukosolewa.

Hahaha,.. nilidhani mimi tu ndo naliona hili,.. afu hachelewagi kukwambia uache kumfollow social media ka unahisi anazingua,.. I did!!!
 
Back
Top Bottom