Nash MC hakika album yako ya Diwani Y Maalim umekata kiu ya wengi

Hawa jamaa kama watajipanga vizuri soko la albam linalipa vizuri sana wanatoboa kwa ushauri tu jamaa wangeongea na basata wapate hati miliki ya kazi zao hii itafanya kuwabana wamiliki wa blog zote bongo wasisambaze nyimbo zao hii ingesaidia sana
 
Hiphop anayo fanya Nash na lunduno tukimtoa unju ni ya kizamani sana ilishafanywa miaka ya 90 Arusha ndio maana wakifikaga sua wanachorwa tuu.Abadilike afanye swagah kidogo na content.
We need a real hip hop
 
Hiphop anayo fanya Nash na lunduno tukimtoa unju ni ya kizamani sana ilishafanywa miaka ya 90 Arusha ndio maana wakifikaga sua wanachorwa tuu.Abadilike afanye swagah kidogo na content.
Ariiiiiiiifuuu unaongea upupu
 
Ila Nash anahustle, anapenda hiphop ila ni kama haimlipi.
Pigo alizoingia nazo mtaani kuuza muziki daa utadhani sijui kibaka wa wapi kumbe ni msanii mkubwa tu, hata kama ni hiphop kina Nikki mbishi walijitahidi kupendezana.
Nash anavaa kama muokota makopo vile sijui msela anakwama wapi, ila muziki wake naupa 100%, kafanya kitu kikubwa.
 
Hiyo ni kazi yake,we yako imekulipa nini,anapokaa huwezi fananisha na unapokaa,wabongo kujifanya ,shame
 
Tustick kwenye hiphop mkuu,nash anafanya hiphop ya kishamba sio kwamba anarap content ndio maana wabongo hawamsikilizi nyimbo kama zima,homa imenizidia na asiyehisika na hiphop atoke zina content gani?.
Nash hagusi hata robo ya bonta maarifa alafu sikwamba anabaniwa na media ni kwamba hana good conscious rap song ya ku offer kwenye hiphop industry amebaki kujisifia tu mtaani.
 
Bonta yuko wapi,we ndo mshamba
 
Kwanza kila mtu ana ladha yake tofauti kati ya Nash na Bonta ,na wote ni wazuri,unakimbilia kumsema Bonta je na yeye ansikika kama Nash?Bonta pia hasikiki ,ni kwamba watu wanapromote mziki wa starehe kuliko wa kufikirisha
 
Bonta yuko wapi,we ndo mshamba
Yupo ana bang kwenye media.Muambie nash wasikilizaji wa hiphop hawataki kusikiliza ngonjera kama za mpoto wanataka flow kali kama za p mawenge,chindo man,mo technique na unju akiendelea na hiyo style yake atabaki kuwa underground wa milele tuzo,show kubwa na top ten atasikia kwenye bomba.
 
Kwanza kila mtu ana ladha yake tofauti kati ya Nash na Bonta ,na wote ni wazuri,unakimbilia kumsema Bonta je na yeye ansikika kama Nash?Bonta pia hasikiki ,ni kwamba watu wanapromote mziki wa starehe kuliko wa kufikirisha
Acha utani mkuu ngoma za bonta zote zinafika top ten ukienda interior uko wulize watu wanaomjua nash hakuna lakini bonta watakuambia ni msaanii wa hiphop,sio kweli mziki content hiphop haiwi promoted mziki wowote mbaya hautakiwi.
 
Uchebe kichaka dingoo...anakuuliza Sijui Mmenielewa..// au nirudi nikiwa nimelewa..//
 
Mkuu siwezi kubishana na wewe,Nash ni Mzuri,na Bonta ni mzuri pia.
Hutaki unaacha
Acha utani mkuu ngoma za bonta zote zinafika top ten ukienda interior uko wulize watu wanaomjua nash hakuna lakini bonta watakuambia ni msaanii wa hiphop,sio kweli mziki content hiphop haiwi promoted mziki wowote mbaya hautakiwi.
 
Acha umama
 
Mkuu imwage hap tuipakue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…