Nash MC hakika album yako ya Diwani Y Maalim umekata kiu ya wengi

Nash MC hakika album yako ya Diwani Y Maalim umekata kiu ya wengi

Ila MWANAHARAKATI nayo ni balaa.

Harakati za wapiganaji na wavuja jasho kama kina mwalimu Mashaka na kina Dizonga, kupitia salaam za amani.

Dirisha ni dogo, na tumechoka! Lakini hayo ndiyo maisha. 😎

Live long Mhadhiri Nash.

-Kaveli-
 
Maalim yupo straight sana, na kweli kama ni mtu wa aina hii ya miziki lazima ujue wapi pa kuzipata. Wazee wa kudanlodi kitonga sana wanataka albam waipate Kwa bando la buku tu. Kavu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app

Mwanaharakati na mpiganaji haswa. Lakini wavuja jasho wenzie wanataka kitonga wadaunilodi bure.

Hatari sana mkuu!

-Kaveli-
 
Harakati za wapiganaji na wavuja jasho kama kina mwalimu Mashaka na kina Dizonga, kupitia salaam za amani.

Dirisha ni dogo, na tumechoka! Lakini hayo ndiyo maisha. [emoji41]

Live long Mhadhiri Nash.

-Kaveli-
Salamu kwa wana wote niliokuwa nao na kucheza pamoja,
Maisha yametugawa hawa buza wale dovya.

FC CHAVI CHAVI MKALI -----
 
Salamu kwa wana wote niliokuwa nao na kucheza pamoja,
Maisha yametugawa hawa buza wale dovya.

FC CHAVI CHAVI MKALI -----
Daah unanikumbusha home sweet home, Dovya Kuna timu ilikua inaitwa Liverpool enzi hizo aisee
 
Hiphop anayo fanya Nash na lunduno tukimtoa unju ni ya kizamani sana ilishafanywa miaka ya 90 Arusha ndio maana wakifikaga sua wanachorwa tuu.Abadilike afanye swagah kidogo na content.

Ya kunywa viroba na kuoza meno kama mnavosifiwa mirad ayo
 
Back
Top Bottom