Mimi manager wa nash ukiwa tayari nitafute
Ok sawa.ngoja nitakutafuta nikipata vihela
Dondoshene nyimbo zake hapa tumsikie
Mkuu imwage hap tuipakue
Mkuu imwage hap tuipakue
Acha usenge mtoto wa kiumeUnawaza kupakua tu eeh? Kupenda vya bure mwishoe nawe utapakuliwa.
-Kaveli-
Sinunui mzeeNunua usipende vya bure
Swaga ndio nin??Hiphop anayo fanya Nash na lunduno tukimtoa unju ni ya kizamani sana ilishafanywa miaka ya 90 Arusha ndio maana wakifikaga sua wanachorwa tuu.Abadilike afanye swagah kidogo na content.
Acha usenge mtoto wa kiume
Sinunui mzee
Hiphop anayo fanya Nash na lunduno tukimtoa unju ni ya kizamani sana ilishafanywa miaka ya 90 Arusha ndio maana wakifikaga sua wanachorwa tuu.Abadilike afanye swagah kidogo na content.
Kendrick anafanya new school tofautisha na ujinga anaoufanya mansulii,Nashiri na songa wanajifanya wanajua Hiphop zaidi ya kina Hashim dogo.Hiphop yako ya kishamba sana kwa producer mzuri awezi wapa beat wachafue maana hawana flow nzuri kwenye beat wanafoka mono kwanzia intro hadi outro hakuna stereo.
Ukimnyanyang'anya kiswahili maalim utagundua haangii kwenye kundi la rapper wala mcee.
Wew una matatizoTustick kwenye hiphop mkuu,nash anafanya hiphop ya kishamba sio kwamba anarap content ndio maana wabongo hawamsikilizi nyimbo kama zima,homa imenizidia na asiyehisika na hiphop atoke zina content gani?.
Nash hagusi hata robo ya bonta maarifa alafu sikwamba anabaniwa na media ni kwamba hana good conscious rap song ya ku offer kwenye hiphop industry amebaki kujisifia tu mtaani.
Hasi 15Acha utani mkuu ngoma za bonta zote zinafika top ten ukienda interior uko wulize watu wanaomjua nash hakuna lakini bonta watakuambia ni msaanii wa hiphop,sio kweli mziki content hiphop haiwi promoted mziki wowote mbaya hautakiwi.
Hiphop anayo fanya Nash na lunduno tukimtoa unju ni ya kizamani sana ilishafanywa miaka ya 90 Arusha ndio maana wakifikaga sua wanachorwa tuu.Abadilike afanye swagah kidogo na content.
Kendrick anafanya new school tofautisha na ujinga anaoufanya mansulii,Nashiri na songa wanajifanya wanajua Hiphop zaidi ya kina Hashim dogo.Hiphop yako ya kishamba sana kwa producer mzuri awezi wapa beat wachafue maana hawana flow nzuri kwenye beat wanafoka mono kwanzia intro hadi outro hakuna stereo.
Ukimnyanyang'anya kiswahili maalim utagundua haangii kwenye kundi la rapper wala mcee.
Ok mkuu nimekuelewaNitakuwa nimedhurumu jasho lake bei ni elfu 7 tu sio nyingi
Album ni 10,000 tu, jipange kanunue. Mfanye msanii apeleke chakula nyumbani.Mkuu imwage hap tuipakue
Mmmh wabongo bwana kwa kujifanya much know!! Kwa iyo wewe unaifahamu hip hop kuliko Nash Maalimu! Sijui umenielewa au nirudi nimelewa?Yupo ana bang kwenye media.Muambie nash wasikilizaji wa hiphop hawataki kusikiliza ngonjera kama za mpoto wanataka flow kali kama za p mawenge,chindo man,mo technique na unju akiendelea na hiyo style yake atabaki kuwa underground wa milele tuzo,show kubwa na top ten atasikia kwenye bomba.