Hivi bongo mziki wa hiphop inafeli wapiIkitokea nikapata pesa na/au mamlaka, hip hop emcees kama Nash nitafanya kila niwezalo wapate airtime kwenye mainstream. Jamii itasikiliza tu.
-Kaveli-
Wapewe bunduki wakaibe kura.Walimu wa chato wapewe nini sasa???
Namcheck faster ni muunge mkono mwanangu wa damu'ONGEA NA MWANAO' ni wimbo bora kabisa kimaudhui katika bongo hip hop, kutoka kwa maalim Nash. Anaikumbusha jamii kuhusu malezi ya mtoto.
Wimbo huu ni ndani ya package ya Album yake iitwayo 'VITASAMOTO' released mwaka jana 2020.
Tumuunge mkono maalim Nash aendelee kutuburudisha huku tunapata dar'sa.
Unga mkono kwa kununua kazi zake.
Ukihitaji kununua albums zake, mcheki kupitia WhatsApp: 0769522346 ; 0787639655.
-Kaveli-
Siku hizi napata tabu sana kusikiliza radio mziki umekua wa hovyo sanaHii ndiyo miziki ya kusikiliza
Madini matupu ndani
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
U delicious ndy una tambaSiku hizi napata tabu sana kusikiliza radio mziki umekua wa hovyo sana
Hii ndiyo miziki ya kusikiliza
Madini matupu ndani
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hii ndiyo miziki ya kusikiliza
Madini matupu ndani
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hivi bongo mziki wa hiphop inafeli wapi
Mbn hawa wakata mauno wanatawala
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] umenifanya nme pariwa beer
Tafuta ngoma ya Nash MC inaitwa Maneno amejibu hili swali lako.Hivi bongo mziki wa hiphop inafeli wapi
Mbn hawa wakata mauno wanatawala
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nash Daaah[emoji41][emoji41]
Hip hop ilizaa Bongo Fleva lakini cha ajabu Bongo Fleva wamewaovertake wasanii wa hip hop ukiangalia trending hip hop mashabiki tupo wengi lakini tumefunikwa na wadosho wakata viuno keep hiphop alive, keep it real
Siku hizi napata tabu sana kusikiliza radio mziki umekua wa hovyo sana