Nashangaa kwa nini watu wanaoana kwa harusi ya gharama halafu wanarudi kupanga!

Nashangaa kwa nini watu wanaoana kwa harusi ya gharama halafu wanarudi kupanga!

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia? Inatisha

1685171246169.png
 
sasa unataka sisi tufanye nini 🤷‍♀️🤷‍♀️
Jengeni kwanza ndio muoane mtu akifa kwenye nyumba yakupanga mtaishije kama familia iliyokuwa inamtegemea Bora ambao hawana hela Sasa sherehe kubwa unapanga makubwa sherehe iwe ya budget kama Huna Pango hela zingine nunueni uwanja mjengee hii ni aibu
 
Ongeza, na jtatu yake wanagombania magari ya kivukoni.

Huo ni ubogaz. Simama tuombe
Nahitaji tuwaombee ndoa ni Raha mkiwa kwenu uwanja wenu sikia huyu bogas eti najengaje kwenye kiwanja Cha serikali , jinga kabisa , .. kuoa ni Raha ukijua unaenda kwako sio Kwa mwenzako unalala Kwa Amani eti unadaiwa Kwa mwezi
 
Sherehe ni mara moja, sasa unataka wajenge kwanza ndiyo waje kufanya sherehe ya ndoa? Uliona wapi ndoa yenyewe unapewa cheti kabla hujayaishi hayo maisha acha wafurahie harusi.
 
Back
Top Bottom