Nashangaa kwa nini watu wanaoana kwa harusi ya gharama halafu wanarudi kupanga!

Nchi gani hiyo ambayo wenye nyumba ndo wanaruhusiwa kuoa?
Wamasai , waarusha , wameru , wachagga wakupi msichana wao kama Huna nyumba kabisa fanya research maana kama Huna nyumba unawezaje kulipia mahari hata ng'ombe mmoja ??

Fanya tafiti wanawake wa kaskazini hawanaga time na wanaume wasiojielewa kama utamkuta anao huyo sio ukoo pure meaning mama mfipa , baba mwarusha lazima mtoto aisiwe Masai og ila kama ni wakaskazini Kwa kaskazini tumeona huchukui msichana hivi hivi
 
Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia ?? Inatisha
Umaskini na Kasumba zake vinakusumbua. Niliponunua gari yangu ya kwanza wengi waliokuwa hawana hata gari walinicheka kwamba kwa nini nanunua gari naacha kujenga, nikaoa, wengi walinicheka kwa nini naoa wakati sijajenga, leo hii naishi kwangu nyumba nzuri, suburb ya kueleweka, wao bado wapo kwenye vibanda vyao maeneo hata hayapimiki🤣🤣🤣
Lesson: Ishi maisha yako ya wengine waachie wenyewe.
 
Jenga acha kukariri maisha
 
Assume mmehamia mkoa mwingine je utaenda na nyumba yako?
Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia ?? Inatisha
 
Sherehe ni mara moja, sasa unataka wajenge kwanza ndiyo waje kufanya sherehe ya ndoa? Uliona wapi ndoa yenyewe unapewa cheti kabla hujayaishi hayo maisha acha wafurahie harusi.
Hapana iwe ya budghet
 
Back
Top Bottom