Nashangaa kwa nini watu wanaoana kwa harusi ya gharama halafu wanarudi kupanga!

Nashangaa kwa nini watu wanaoana kwa harusi ya gharama halafu wanarudi kupanga!

Bora hao wameoana kwa harusi wameonyesha upendo, kuliko wale wanaoana pale mwanamke anapofukuzwa kwao baada ya kupata ujauzito na aliyempa ujauzito anaishi kwa wazazi..
 
Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia?? Inatisha
Vile pesa ni donation so lazima zitumike siku ya harusi sawa....

😃😃😃😃😀😀😀😊😊😊😊😊
 
Jitu lishatelekezwa tayari😆😆😆😆hasira zinaishia huku
 
Wenzetu walioendelea (Wazungu)harusi zao hazina gharama, Waafrika sijui ni u-bi show!! Hata michango ya harusi ni mikubwa ila michango ya maendeleo ni kidogo.
 
Kwan harusi ni shinga na nyumba ni shingap kujenga

Kupanga ni kuchagua acha kupangie wengne maisha ya kuishi
 
Sasa wee hutakiiii??
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Isiwe kuona kwa kuliana timing za kwenye mali ila ni kwa maendeleo ya familia yote kwa ujumla kuanzia sisi wazazi hadi kwa vizazi vyetu na maanisha hadi wajuukuu, wajekufurahia watakavyo vikuta kipindi hicho...
 
Back
Top Bottom