Nashangaa kwa nini watu wanaoana kwa harusi ya gharama halafu wanarudi kupanga!

sasa unataka sisi tufanye nini πŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ
Jengeni kwanza ndio muoane mtu akifa kwenye nyumba yakupanga mtaishije kama familia iliyokuwa inamtegemea Bora ambao hawana hela Sasa sherehe kubwa unapanga makubwa sherehe iwe ya budget kama Huna Pango hela zingine nunueni uwanja mjengee hii ni aibu
 
Ongeza, na jtatu yake wanagombania magari ya kivukoni.

Huo ni ubogaz. Simama tuombe
Nahitaji tuwaombee ndoa ni Raha mkiwa kwenu uwanja wenu sikia huyu bogas eti najengaje kwenye kiwanja Cha serikali , jinga kabisa , .. kuoa ni Raha ukijua unaenda kwako sio Kwa mwenzako unalala Kwa Amani eti unadaiwa Kwa mwezi
 
Sherehe ni mara moja, sasa unataka wajenge kwanza ndiyo waje kufanya sherehe ya ndoa? Uliona wapi ndoa yenyewe unapewa cheti kabla hujayaishi hayo maisha acha wafurahie harusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…