Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #21
Wamasai , waarusha , wameru , wachagga wakupi msichana wao kama Huna nyumba kabisa fanya research maana kama Huna nyumba unawezaje kulipia mahari hata ng'ombe mmoja ??Nchi gani hiyo ambayo wenye nyumba ndo wanaruhusiwa kuoa?
Kwa sababu ya watoto ukitaka nikutunzie watoto wako wewe nani Tena unyang'anywe yoteNatukijenga kisha tukawaoa bado likija suala la talaka mnataka pasupasu(50/50) 😂😂😂
Anataka watu wajenge njiani wakati wote ni wapitaji?Unajenga kwenye ardhi ya serikali huo ni upumbafu kabisa
Mbona marekani kila mtu kapanga na hakuna noma,acha fikira za kimasikin hapa dunian tunapita
Mie sio mwanaume nisubiri kuoa mie joke sisubiri kuoa naolewaWewe tu huna kwako usitupigie kelele
Umaskini na Kasumba zake vinakusumbua. Niliponunua gari yangu ya kwanza wengi waliokuwa hawana hata gari walinicheka kwamba kwa nini nanunua gari naacha kujenga, nikaoa, wengi walinicheka kwa nini naoa wakati sijajenga, leo hii naishi kwangu nyumba nzuri, suburb ya kueleweka, wao bado wapo kwenye vibanda vyao maeneo hata hayapimiki🤣🤣🤣Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia ?? Inatisha
Jenga acha kukariri maishaUmaskini na Kasumba zake vinakusumbua. Niliponunua gari yangu ya kwanza wengi waliokuwa hawana hata gari walinicheka kwamba kwa nini nanunua gari naacha kujenga, nikaoa, wengi walinicheka kwa nini naoa wakati sijajenga, leo hii naishi kwangu nyumba nzuri, suburb ya kueleweka, wao bado wapo kwenye vibanda vyao maeneo hata hayapimiki🤣🤣🤣
Lesson: Ishi maisha yako ya wengine waachie wenyewe.
Wewe umejenga?Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia ?? Inatisha
So watoto ndio chambo ili mjunufaishe nyinyi binafsi😂😂😂Kwa sababu ya watoto ukitaka nikutunzie watoto wako wewe nani Tena unyang'anywe yote
Basi usimwache chukua nyumba ndogo ila suala la kulea Watoto wenyewe sio poaSo watoto ndio chambo ili mjunufaishe nyinyi binafsi😂😂😂
Siwezi ongea ni Siri yangu ila Mimi sio me ni ke me ndio wachakarikeWewe umejenga?
Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia ?? Inatisha
Oho ni sawa ila unamakao yakikushunda unapakwendAssume mmehamia mkoa mwingine je utaenda na nyumba yako?
Shida nisehemu ya kero na dhihaka mlizonazo ndani ya nyumba na hiyo nyumba ndogo bado sio suluhisho😂😂😂Basi usimwache chukua nyumba ndogo ila suala la kulea Watoto wenyewe sio poa
Jenga Kwa maendeleo ya familia Yako
Mie siwezi mdhihaki mtu Kisa Nini??Shida nisehemu ya kero na dhihaka mlizonazo ndani ya nyumba na hiyo nyumba ndogo bado sio suluhisho😂😂😂
Hapana iwe ya budghetSherehe ni mara moja, sasa unataka wajenge kwanza ndiyo waje kufanya sherehe ya ndoa? Uliona wapi ndoa yenyewe unapewa cheti kabla hujayaishi hayo maisha acha wafurahie harusi.
NikutojitumaKupanga ni kuchoose