sitaki shida,,nataka mwenye ana nyumba na gari kabisa ππHapo unatumia akili sasa
Tako unalo?sitaki shida,,nataka mwenye ana nyumba na gari kabisa ππ
weweeee niache Kwani ππππTako unalo?
Vile pesa ni donation so lazima zitumike siku ya harusi sawa....Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia?? Inatisha
Wengi wanafanya "show off"Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia? Inatisha
Sasa wee hutakiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natukijenga kisha tukawaoa bado likija suala la talaka mnataka pasupasu(50/50) [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee ungetakaSasa wee hutakiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isiwe kuona kwa kuliana timing za kwenye mali ila ni kwa maendeleo ya familia yote kwa ujumla kuanzia sisi wazazi hadi kwa vizazi vyetu na maanisha hadi wajuukuu, wajekufurahia watakavyo vikuta kipindi hicho...Sasa wee hutakiiii??