Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Katika nchi ambayo pesa ipo nje nje ni tanzania nashangaa wananchi mnalialia mitandaoni eti maisha magumu wakati maisha Tanzania ni marahisi sana na pesa zipo nyingi aisee.
Hamna nchi naipenda kama tanzania yaani Ina amani pesa kibao na wananchi wanaishi vizuri huwa nashangaa watu mitandaoni wanalalamika maisha magumu huo ugumu wa maisha.
Mimi siuoni yaani Mimi Nina watoto wa 5 na wote wanasoma international school maana pesa ipo nyingi sana tanzania hii na maisha yanaendelea kama kawaida naifurahia nchi yangu ya Tanzania.