Nashangaa mnaolalamika maisha magumu Tanzania

Nashangaa mnaolalamika maisha magumu Tanzania

Katika nchi ambayo pesa ipo nje nje ni tanzania nashangaa wananchi mnalialia mitandaoni eti maisha magumu wakati maisha tanzania ni maraisi sana na pesa zipo nyingi aisee hamna nchi naipenda kama tanzania yaani Ina amani pesa kibao na wananchi wanaishi vizuri huwa nashangaa watu mitandaoni wanalalamika maisha magumu huo ugumu wa maisha Mimi siuoni yaani Mimi Nina watoto wa 5 na wote wanasoma international school maana pesa ipo nyingi sana tanzania hii na maisha yanaendelea kama kawaida naifurahia nchi yangu ya tanzania.

Ujielewi
 
20231217_214048.jpg
 
Watu wengine mmetumwa na serikali kutupima..enjoy the national cake our future is coming now wacha tusuffer.
 
Hamna naona wananchi mitaani wanafurahia maisha wanasema kabisa tanzania imebarikiwa pesa zipo nyingi sana
I don't believe it! Mbona watu wanaomba kusaidia mtaani na kijijini ndiyo usiombe? Kila ukipokea simu unaombwa msaada wa fedha?
 
Back
Top Bottom