Nashangaa mnaolalamika maisha magumu Tanzania

Katika nchi ambayo pesa ipo nje nje ni tanzania nashangaa wananchi mnalialia mitandaoni eti maisha magumu wakati maisha tanzania ni maraisi sana na pesa zipo nyingi aisee hamna nchi naipenda kama tanzania yaani Ina amani pesa kibao na wananchi wanaishi vizuri huwa nashangaa watu mitandaoni wanalalamika maisha magumu huo ugumu wa maisha Mimi siuoni yaani Mimi Nina watoto wa 5 na wote wanasoma international school maana pesa ipo nyingi sana tanzania hii na maisha yanaendelea kama kawaida naifurahia nchi yangu ya tanzania.
Unazo na je halaliii?
 
Yani badala useme unazipataje wewe unakuja kutuvimbia unapesa nyingi, ukiendelea hivo utafirisika
 
Kwanza jiulizeni mtu anayesomesha watoto watano intaneshno ada si chini ya 50+ milion kwa mwaka kwa watoto hao watano tena ni zile International za bei ndogo zile anaweza kupata mda wa kuandika nyuzi humu na kujibu kila komenti tusifanyane mabwege wazee uk
✅😆😆😆
 
dogo anapenda kuanzisha nyuzi tata ili mradi tu aende against na uhalisia nadhani ndiyo furaha yake
 
Back
Top Bottom