Nashangaa mnaolalamika maisha magumu Tanzania

Nashangaa mnaolalamika maisha magumu Tanzania

UGUMU wa maisha upo kwenye kichwa chako na matumizi yako
Watu kama nyie nawaogopa sana aiseeee..
Yani mtu anaesema maneno kama yako jua ana uwezo wa kulala chumba kimoja na Nyoka,

Huwa ana uwezo wa kuangalia TBC na Safari TV
😂😂😂😂😂😂
 
Nina familia watoto wa 5 na wote nawasomesha international school. Na wote nawatimizia mahitaji yao
Mkuu, humu Kuna matomaso wengi embu weka ka ushahidi ka pay slip ya international school 😊

All in all ,
Tanzania pesa nje nje yaan kaanga mandazi , chapati, mihogo tafuta demand then supply fanya na derivery KABISA nchi za ulaya mpaka uwe na certificate na upime afya huku kwetu ni vice versa.

Ingia kwenye industry yoyote kua guru (expert) mfano kwa dar es salaam ufundi magari, ufundi AC , ufundi simu na computer,ufundi ujenzi, ufundi nguo.

Ukishindwa wekeza muda kwenye uchuuzi wa bidhaa mbali mbali mfano kua WINGA kwenye industry yoyote mfano kuuza nguo, building materials, consumables items, vifaa vya umeme, stationary items, pia Kuna items za pharmaceutical unaweza ukawa WINGA pia Mzee ni kuwekeza nguvu kidogo na ukiwa na akili nzurii ndani ya miezi sita utakua na mtaji maana ukiwa powa haukosi kulaza minimum 10k mpaka 500k na kuendelea Tena hulipi Kodi

Information is power
 
Katika nchi ambayo pesa ipo nje nje ni tanzania nashangaa wananchi mnalialia mitandaoni eti maisha magumu wakati maisha tanzania ni maraisi sana na pesa zipo nyingi aisee hamna nchi naipenda kama tanzania yaani Ina amani pesa kibao na wananchi wanaishi vizuri huwa nashangaa watu mitandaoni wanalalamika maisha magumu huo ugumu wa maisha Mimi siuoni yaani Mimi Nina watoto wa 5 na wote wanasoma international school maana pesa ipo nyingi sana tanzania hii na maisha yanaendelea kama kawaida naifurahia nchi yangu ya tanzania.
Uzuri wa #international skuli za tanzania Ada inaanzia tzs 350,000 kwa mwaka mpaka $40,000 kwa mwaka.

Hongera kwa kua na pesa na kusomesha watoto 5 mkuu
 
Maisha ukijitambua mapema na kuanza kuzisaka ngawira mapema nchi hii nyepesi sana. Tatizo wengi wanashtuka kupambana wakati majukumu yashawabana hususani familia
 
Kama unataka kusaidia ndugu zako kwamawazo ,Toa ushauri jinsi ya kupata izo hela za nje nje, okoa jahazi mkuu.
 
Katika nchi ambayo pesa ipo nje nje ni tanzania nashangaa wananchi mnalialia mitandaoni eti maisha magumu wakati maisha tanzania ni maraisi sana na pesa zipo nyingi aisee hamna nchi naipenda kama tanzania yaani Ina amani pesa kibao na wananchi wanaishi vizuri huwa nashangaa watu mitandaoni wanalalamika maisha magumu huo ugumu wa maisha Mimi siuoni yaani Mimi Nina watoto wa 5 na wote wanasoma international school maana pesa ipo nyingi sana tanzania hii na maisha yanaendelea kama kawaida naifurahia nchi yangu ya tanzania.
Kama wewe ni mwanaume onesha bank statement Yako vinginevyo wewe mnafiki
 
Maisha ukijitambua mapema na kuanza kuzisaka ngawira mapema nchi hii nyepesi sana. Tatizo wengi wanashtuka kupambana wakati majukumu yashawabana hususani familia
Pesa ni nyingi sana tanzania hii
 
Back
Top Bottom